CHADEMA Digital yaingia Kahama, ni umati wa kutisha

Sasa umati ukuwapi hapo kwani watu hawajui kama hicho ni chama cha ukabila
 
Kamwe usiigope hukumu ya mwanadamu bali ogopa sana hukumu ya Mungu
Umepaniki kamanda. Sauti ya watu ni sauti ya Mungu. Kilichofungiwa duniani kimefungiwa mbinguni😁😁😁😆😆😁😁. Sasa asubiri kitu kizito kumponda kichwani,kutoka kuwa mwamba mpaka udongo kwenye mashamba ya magereza
 
Umepaniki kamanda. Sauti ya watu ni sauti ya Mungu. Kilichofungiwa duniani kimefungiwa mbinguni. Sasa asubiri kitu kizito kumponda kichwani,kutoka kuwa mwamba mpaka udongo kwenye mashamba ya magereza
Jiwe kafungiwa wapi?
 
Tatizo maccm wanafikili Chadema ni chama Cha Siasa tu,Chadema ni zaidi,Chadema ni idea,wazo,na huwezi kuua wazo/idea maana ni kitu kinachoishi mioyoni mwa watu
NCCR na hata TLP nayo ni mawazo na hiyo foleni wanaijaza vizuri tu mbona.
 
Back
Top Bottom