Chadema Digital yaingia Jimbo la Msalala Mkoa wa Shinyanga

Inatia moyo sana kuona CHADEMA inapenya mpaka maeneo hayo ya vijijini.

Hongereni sana kwa kazi hiyo takatifu. Najua kadi hazitolewi kimya kimya bali zinaambatana na elimu ambayo matokeo yake yatakuja kuonekana mbeleni.
Matunda ya hii kazi yatakuwa maradufu.
 
Back
Top Bottom