Chadema: Cuf ni chama dhaifu,.......

Ndio madhara ya hawa wapaka wanja wenye akili za shake well before use, weka mbali na watoto.


  • PICHA+NA+2.jpg






hawa jamaa sio ndio walipewa 20,000/=?? halafu wajanja kwenye ripoti wakaandika 120,000/= hahahha
masaburi kweli hawa ....... nina wasi wasi na elimu zao au jinsi walivyoajiriwa hapo ... wote hawa utakuta ni vimemo ndio vimewafikisha hapo lmao!!!!
 
Ndio madhara ya hawa wapaka wanja wenye akili za shake well before use, weka mbali na watoto.


  • PICHA+NA+2.jpg



Hivi hawa watu wanaosukuma gari mbona inaonyesha ni watu na heshma zao? hivi Jairo aliwafanya nini mpaka walifikia uamuzi wa kufanya mambo ya kitoto kiasi hiki? najaribu tu kufikiria hivi familia zao wanapowaona wanamsukuma mwanaume mwenzake ilihali gari yake ni nzima inaashiria nini?
 
Usiwe hoi, haka kainzi kanaingia mpaka kwenye kikao cha baraza la mawaziri, huwezi kuamini kanayo mpaka nakala ya barua yenye page tatu 3 ambayo Ngeleja amemuandikia Rais ili ajiuzulu uwaziri, ila not verified ndio maana hatujaiweka hapa.

Aah wajameni haka Kainzi ni nourmer, nimesikia eti pia kana waraka kutoka kwa Mkuu wa Kaya kwenda kwa EL Akimwomba asimwage Ugali?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom