Kuna tetesi kuwa CUF tayari wanawasiliana na CHADEMA juu ya maandamano ya Kitaifa dhidi ya kamata kamata ya waheshimiwa wabunge wa vyama vya upinzani.
Kumbukeni hadi leo Mh. Magdalena Sakaya (CUF), Mh. E. Mbowe (CDM) na Mh. Zitto Z. Kabwe (CDM) wako mikononi mwa Polisi.
Je, inawezekana CUF na CDM kuungana ktk hili? Kama ni kweli, maandamano hayo ya kitaifa yamepangwa lini na kikomo chake ni lini? Yatakuwa na mtindo wa yale ya Tunisia na Misri?
Mungu Ibariki Tanzania, Mungu tubariki wale tupendao haki sawa kwa wote:mwaaah:
no needof guns, style ya egypt ndio poa zaidi. sasa hivi askari wenyewe wanaenjoy. mubarak kawatumia na sasa hivi hayupo kwenye power lakini askari wako pale pale wanalitumikia taifa
It is impossible CUF CDM to work together. Especially on mission toward CCM. Kwa hapo tusidanganyane. Yaani CUF waandamane kisa Zitto Mbowe wamedakwa na polisi! thats very impossible. Wangeandamana Sakaya alipodakwa hapo ningeelewa. Kumbuka Mbowe ameshikilia wadhifa alokuwa nao Hamad Rashid hicho kitu kitawauma CUF for the rest of their 5 election years.
Viongozi wa CUF (CCM B,),NCCR (CCM c) ,&TLP ( CCM D) walisema maandamo ya CDM hayana tija kwa nchi yetu,wamesahau methali inayosema fimbo anayopigiwa mke mwenzio ifiche isije ikakupiga na ww,Leo iweje waandamane na wao ni serikali.
Nadhani CUF nao wameonja chungu hii kule Tabora ndiyo maana wanataka kuandamana. Nadhani kila chama kingefanya kwa mtindo wake especially katika strong holds zao itapendeza sana kuona nchi imegawanwa huku magamba wakibaki na kipande tu labda dodoma!
Mbona yetu yalianza kabla ya hao. Ni kiwangombinu na uwezo tofauti. Elimu yetu ya ndiyo mzee ndilo balaa lenyewe. Polisi wa Misri ni nafuu kuliko w3a kwetu. Ufisadi wa Chama Twawala usiseme
Wakifanya hivyo ni hatua moja kubwa sana kutanguliza issues za kitaifa kuliko za kichama. CUF kama CDM wana matatizo yao lakini wanapomature na kubainisha issues za kipaumbele kwa taifa tuungane na kuwapongeza.