CHADEMA, Corona imekwisha?

Hujui kuwa yesu wa lugola alikaa chato zaidi ya mwezi mmoja kuogopa korona punguza uzwazwa.
 
Hapo mwisho ndio.umeharibu bandiko lako, bora lingebaki kuwa swali ili hao chadema waje kutoa majibu.
 
Wewe bwabwaja tu ,Tanzania hatuna corona
Israel na Maka mataifa makubwa ya mungu yapo hadi kwenye vitabu vya dini na Kuna Corona, sembuse Tanzania hahahaha
 
Watakujibu tulia sindano iingie.

Buku saba, hawana majibu.
 
Akili yako ni ndogo. Nenda kakojoe ulale.
 
Kuhusu Corona muulize Kagame kwanini alivalia limask lake Tena mbele ya jiwe. Au jiwe hakumwambia Kama TZ hakuna Corona
 
Israel na Maka mataifa makubwa ya mungu yapo hadi kwenye vitabu vya dini na Kuna Corona, sembuse Tanzania hahahaha
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Ila CDM kwenye issue ya corona mlichemka vibaya sana yaan hata nyie wenyewe mnajiona wajinga 🀣🀣🀣🀣
 
Ww unaamini Tanzania hakuna Corona?
Inchi zote duniani Zina Corona Yan Tanzania tu ndio iwe hakuna? πŸ˜‚ πŸ˜‚
Kama ipo basi wewe ndo unayo maana wengine hawana na wala hakuna vifo mlivyokuwa mnadanganywa na yule anaejiita kigogo 🀣🀣🀣🀣🀣
 
Mange alichoka mwenyewe,maana alikuwa anakazana kupost clip za kutishatisha kuhusu corona ila hao wanaomtumia ndio kwanza nao walikuwa wanajichanganya tu bila hofu ya corona.
Hapo akaona anatwanga maji kwenye kinu na zile clips akaona zinamtia stress tu.
 
Ndo tushawanyima sasa, eti wanataka tuandamane! Sibonhwa kabisa hawa! Na mwaka huu ruzuku hawalambi ng'ooooo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…