CHADEMA chuo kikuu Mwenge yaiswaga CCM

CHADEMA chuo kikuu Mwenge yaiswaga CCM

Wanachama 30 ni wengi sana,hivyo kama kuna chama hakiwezi kutetereka kuwapoteza basi chama hicho kina ushetani ndani yake,kwani chama chenye Mungu ndani yake kinatafuta hata mwanachama1 aliyepotea miongoni mwa100.
 
Kwani ccm wanaelewa hilo? Wameshatoka kwa Mungu na kiongozi wao mkuu sasa hivi ni shetani. Angalia wanavyoiba mali za wanyonge! Mambo ya kumtesa Dr. Ulimboka, Mwandishi Kibanda, Kumuua Mwandishi Mwangosi, Kufungia magazeti yasiyo na makosa yoyote n.k. hayo ni mambo ya kishetani. Hata hivyo huwa nawashangaa wasomi ambao, pamoja na upeo wao wa kuchambua pumba na mchele bado wanaendelea kukumbatia pumba (CCM)!! Ama kweli shetani anafanya kazi kubwa ndani ya chama (ccm) hicho. Vyovyote viwavyo, Shetani kamwe hatamshinda Mungu na itakuwa hivyo hata milele. Hongera vijana 30 wa Mwuce kuchagua fungu lililo bora, CDM. Chadema - Vema.
 
kazeni boot makamanda,kazeni mkanda viunoni mapambano ndio mwanzo kabisa:
 
Back
Top Bottom