CHADEMA chukueni kikotoo kama agenda muhimu ya uchaguzi

Hudumieni watu vizuri mkiwa.maofisini ndipo wananchi waweza kubeba hoja zenu

Mkiwa maofini mnajiona miungu watu hamjali wananchi.

Watanzania wakonmilioni 60 wafanyakazi wote wa serikali hawazidi laki nne wanaojiona miungu watu maofisini

Chama chochote makini hakiwezi kaa kinahangaika kutafuta kura za watu laki nne
Pambanenini na hali lzenu
Hata kama wafanyakazi wakijiona miungu watu hizo pesa za pension ni pesa zao halali, wapewe pesa zao zote wanapostaafu kazi.
 
Hudumieni watu vizuri mkiwa.maofisini ndipo wananchi waweza kubeba hoja zenu

Mkiwa maofini mnajiona miungu watu hamjali wananchi.

Watanzania wakonmilioni 60 wafanyakazi wote wa serikali hawazidi laki nne wanaojiona miungu watu maofisini

Chama chochote makini hakiwezi kaa kinahangaika kutafuta kura za watu laki nne
Pambanenini na hali lzenu
Wewe ndiye mjinga hujui usemalo...

Kama kura moja ina thamani sana, iweje kwa ujinga wako udharau kura 400,000 au 600,000...?

After all kila kundi lina matamanio yake na chama cha siasa makini ni lazima kiwe na kibebe interests za kila kundi la kijamii na kuzitengenezea sera na mipango ya uwezeshaji...

Ajenda ya kikokotoo specific ni ya wafanyakazi/watumishi wa imma ili kupata kura zao. Kama itaelezwa kwa ufasaha na ikaeleweka, it's obvious utavuna kura hizo 500,000 au 1,000,000 na zaidi...

Ukienda kwa wakulima, wavuvi, wafugaji, wafanyabiashara, wasafirishaji nk nk fanya hivyo. Angalieni mahitaji na matamanio yao. Tengeneza sera na mipango ya uwezeshaji wa shughuli zao za kijamii na kiuchumi. Chama cha siasa makini lazima kijali kila kundi kwa namna hii...

Ndugu fazili mleta hoja yuko makini na sahihi kabisa kuwashauri CHADEMA kuibeba hii ajenda ili wapate kura za watumishi wa umma....

Na kanuni za chaguzi za kidemokrasia ziko hivi;

Kwa kadiri unavyofanikiwa kumshawishi mtu mmoja akupigie kura kwa sera na mipango bora ya ustawi wa maisha yao, elewa kabisa kuwa nyuma ya kila mtu anayeshawishika, naye huyo mtu anaweza kushawishi watu kadhaa wanaoweza kukupigia kura pia..

Ukiidharau kanuni hiyo👆👆, basi obvious wewe utakuwa mjinga kwelikweli wa siasa za uchaguzi..!

Kwa hiyo kura 400,000 za hawa watumishi wa umma kama nyuma yao Kuna wategemezi 4, maana yake una uhakika wa kura 1,600,000..!!

Kama unadharau hii kanuni, basi wewe ni mjinga wa mwisho kabisa..!!
 
Issue sio kura.

Issue kubwa ni uhalali wa kupiga , kuhesabiwa , kutolewa matokeo.

Hapo ndio linapoibuka suala la tume huru ya uchaguzi.
Yes, ni kweli kabisa...

Lakini tuwe tunapenda au hatupendi, kushawishi watu wakupigie kura kwa sera na mipango ya maendeleo mizuri inayowavutia watu ni jambo la kwanza na la muhimu kabisa..

Kudhibiti wizi wa kura ni issue manually na inaweza kufanyika kiranisi...

Na kwa kweli, hili tukiamua wote kwa pamoja inawezekana kuwadhibiti hawa hayawani na wakilazimisha huo ndio uwe mwanzo wa kupata wote au tukose wote..

Huu ujinga na upumbavu wa kutuwekea viongozi ambao hatuja wachagua ni lazima tuukomeshe bila kujali bunduki zao hawa hayawani..
 
Mleta mada inaonekana wewe ni mtoto wa mstafu hesabu zinakugomea utachukuaje mpunga kwa mzazi wakati mpunga ni kidogo
 
Wewe ndiye mjinga hujui usemalo...

Kama kura moja ina thamani sana, iweje kwa ujinga wako udharau kura 400,000 au 600,000...?

After all kila kundi lina matamanio yake na chama cha siasa makini ni lazima kiwe na ajenda kwa kila kundi la kujamii...

Ajenda ya kikokotoo ni ya wafanyakazi/watumishi. Kama itaelezwa kwa ufasaha na ukaeleweka, utavuna kura hizo 500,000 au 1,000,000...

Ukienda kwa wakulima, wavuvi, wafugaji, wafanyabiashara, wasafirishaji nk nk ni lazima uwe na sera za uboreshaji wa shughuli zao. Chama cha siasa makini lazima kijali kila kundi.

Ndugu fazili mleta hoja yuko makini na sahihi kabisa kuwashauri CHADEMA kuibeba hii ajenda ili wapate kura za watumishi wa umma....

Na kanuni ya uchaguzi na kupiga kura iko hivi;

Kwa kadiri unavyofanikiwa kumshawishi mtu mmoja akupigie kura, elewa kabisa kuwa nyuma yake ana watu kadhaa wanaoweza kukupigia kura pia..

Kwa hiyo kura 400,000 za hawa watumishi wa umma kama nyuma yao Kuna wategemezi 4, maana yake una uhakika wa kura 1,600,000..!!

Kama unadharau hii kanuni, basi wewe ni mjinga wa mwisho kabisa..!!
Iwapo kungekuwa na uchaguzi serious, hoja yako ingekuwa na mashiko. Sio kwa ule uhayawani unaendeleaje kwenye chaguzi zetu.
 
Iwapo kungekuwa na uchaguzi serious, hoja yako ingekuwa na mashiko. Sio kwa ule uhayawani unaendeleaje kwenye chaguzi zetu.
Wananchi wanaweza kuufanya uchaguzi uwe serious wakiamua.
 
Iwapo kungekuwa na uchaguzi serious, hoja yako ingekuwa na mashiko. Sio kwa ule uhayawani unaendeleaje kwenye chaguzi zetu.
Kwa hiyo ufanyeje sasa?

Usiombe kura za watumishi wa umma kwa sababu hii unayoitoa wewe? Really?

Kama uchaguzi "sio serious" huwa mnashiriki kwa vigezo vipi?

USHAURI WA BURE KWAKO:

1. Pambaneni kuhakikisha uchaguzi unakuwa "serious" kama ulivyosema au acheni kabisa kushiriki kwa sababu unayoitoa wewe.!

2. Iwapo huwa mnashiriki uchaguzi uwe ni "serious election" or "not serious election", fahamuni na zingatieni kuwa mnazihitaji kura za watumishi wa umma kuliko mnavyojihitaji wenyewe.

Na kama mnazihitaji, basi ni lazima muwe na ajenda au sera nzuri kuwahusu.

Na mojawapo ya ushauri wa bure kwenu mliopewa na mleta hoja ni kuhusu ajenda ya maslahi yao (watumishi wa umma) kwa ujumla na hususani kikokotoo cha mafao ya mkupuo (kiinua mgongo) kwa wastaafu..

Kama mnaona ni upuuzi, basi kaeni na ujinga wenu hivyo hivyo mpaka mje kuwa na "serious election..!"
 
Kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2025 CHADEMA chukueni suala la kikotoo cha mifuko ya pensheni kama ajenda muhimu ya uchaguzi.

Mkiwapa wafanyakazi ahadi ya kurudisha kikotoo cha zamani ambapo walikuwa wanachukua mafao yao kwa 50% kwa mkupuo hakika mtavuna kura zote za wafanyakazi walioko kwenye mifuko ya pensheni.

Kumbukeni pia hao wafanyakazi ndio wasimamizi wa zoezi la kura katika uchaguzi, wanaweza kugeuka kuwa hata mawakala wenu wa ziada wa kujitolea katika vituo.
Wanaokipigia kelele kikokotoo ni asilimia ngapi? Ya watanzania.
Tuanzie hapa tuone kana watakuwa na impact yoyote!
 
Hivi kwanini kuna Pensions Funds..., Dhima nzima ya Pension ni nini ?
Mtaji ?
Au Insurance / Bima ili uzeeni usiwe mzigo kwa jamii (yaani angalau upate pesa za kuishi mpaka siku unakufa)...

Ukizingatia Life Span imeongezeka na wachangiaji wamepungua kuliko wanaochukua yale mapesa waliojiwekea walamba asali hapo nyuma kuyachukua hayakuwa sustainable...
 
Kumbukeni pia hao wafanyakazi ndio wasimamizi wa zoezi la kura katika uchaguzi, wanaweza kugeuka kuwa hata mawakala wenu wa ziada wa kujitolea katika vituo.
Ccm haijali hilo wala kuogopa hizo kura zao hao wafanyakazi, isitoshe CCM haitegemei kura Ili kushinda uchaguzi
 
Kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2025 CHADEMA chukueni suala la kikotoo cha mifuko ya pensheni kama ajenda muhimu ya uchaguzi.

Mkiwapa wafanyakazi ahadi ya kurudisha kikotoo cha zamani ambapo walikuwa wanachukua mafao yao kwa 50% kwa mkupuo hakika mtavuna kura zote za wafanyakazi walioko kwenye mifuko ya pensheni.

Kumbukeni pia hao wafanyakazi ndio wasimamizi wa zoezi la kura katika uchaguzi, wanaweza kugeuka kuwa hata mawakala wenu wa ziada wa kujitolea katika vituo.
kwa hiyo sera yao ni moja tu kikotoo?
 
KIKOKOTOO SIO AJENDA WASTAAFU WAPO WANGAPI? WATUMISHI WENYEWE NI MACHAWA WA CCM WACHA WATESWE NA CCM YAO
 
Viongozi wa vyama vya wafanyakazi si watetezi tena wa maslahi mapana ya wafanyakaxi. Tayari wamekwisha "compromise" na watawala. CDM kama chama kikuu cha upinzani, pamoja na ajenda nyingine kuntu, hili la kikokotoo wanapaswa kulibeba.
Kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2025 CHADEMA chukueni suala la kikotoo cha mifuko ya pensheni kama ajenda muhimu ya uchaguzi.

Mkiwapa wafanyakazi ahadi ya kurudisha kikotoo cha zamani ambapo walikuwa wanachukua mafao yao kwa 50% kwa mkupuo hakika mtavuna kura zote za wafanyakazi walioko kwenye mifuko ya pensheni.

Kumbukeni pia hao wafanyakazi ndio wasimamizi wa zoezi la kura katika uchaguzi, wanaweza kugeuka kuwa hata mawakala wenu wa ziada wa kujitolea katika vituo.
Naunga mkono hoja.
 
Hiyo hoja yako ni kwa baadae. Sasa hivi CHADEMA iko kwenye vita ya wenyewe kwa wenyewe mtandaoni. Wakimaliza vita yao ndo watakuja kwenye hoja za msingi. Waache kwanza wamalizane.
 
Back
Top Bottom