Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 37,890
- 46,637
- Thread starter
- #21
Hata kama wafanyakazi wakijiona miungu watu hizo pesa za pension ni pesa zao halali, wapewe pesa zao zote wanapostaafu kazi.Hudumieni watu vizuri mkiwa.maofisini ndipo wananchi waweza kubeba hoja zenu
Mkiwa maofini mnajiona miungu watu hamjali wananchi.
Watanzania wakonmilioni 60 wafanyakazi wote wa serikali hawazidi laki nne wanaojiona miungu watu maofisini
Chama chochote makini hakiwezi kaa kinahangaika kutafuta kura za watu laki nne
Pambanenini na hali lzenu