Josh Michael
JF-Expert Member
- Jun 12, 2009
- 2,523
- 91
- Thread starter
-
- #221
Kanda2,Mzee MIMI sikuelewi.Vijana Gani unawazungumzia?Zitto Kabwe ndio kijana umemtosa na KUMPA mkweo Mbowe bila haya wala aibu.
Kafulillah umemtosa.
mara usinginzie kuwa kuna pesa za Mafisadi kwenye uchaguzi wa Chadema ili upitishe watu wako.
kisheria hukupaswa kushiriki kwenye kikao ambacho una mgongano wa kimaslahi.yaani kikao cha KUMTOA ZITTO ili ampishe Mtoto wako Mbowe.
swali la ziada wabunge wa viti maalum wa Chadema walipitishwa na kikao gani? kwanini ni watu wenye mahusiano na Kilimanjaro tu?
naona ujibu haya kwanza then nitakupa maswali mengine baadae.
WanaJF walio-respond kwa mchango wangu nawashukuru wote. Walionisulubu kuhusu role yangu ktk kukinusuru Chadema ili kisisambaratike, nawashauri wawasiliane na viongozi wakuu wa sasa-- yaani Mbowe, Slaa, Zitto na Arfi-- kuthibitisha kama Chadema kimeimarika baada ya Mkutano Mkuu au la. Kama jawabu ni ndio, basi hiyo ndio role ya wazee, hususan waasisi.
Kuhusu ukanda, ukabila etc. nimepata kueleza kwamba licha ya kushiriki kwangu ktk kuasisi Chadema, tumesisitiza na tumejitahidi tangu mwanzo kukifanya chama kiwe na kionekane ni cha kitaifa. Matunda ya efforts hizo yanaonekana katika "spread" ya Wabunge na Madiwani, Chadema kikiwa na Halmashauri za Tarime, Kigoma-Ujiji na Karatu kinachoongoza. Hakuna shaka sasa Chadema ni chama cha kitaifa.
Kuhusu Udini, hili ni sisitizo tangu mwanzo kwamba hatubaguani kidini, na wanaChadema hawaulizani wana dini gani. Mwenyekiti Taifa wa pili (Bob Nyanga Makani alikuwa Muislamu). Wakina Kabourou, Mchatta, Akwilombe wote walishika nafasi za uongozi wa juu na walikuwa Waislamu. Zitto, Arfi na wajumbe wengi wa Central Committee ni Waislamu.
Lawama za undugu: Nataka kusema kwamba haiwezekani mtu yeyote akaanzisha chama cha siasa na akamkataza mwanae au ndugu yake kujiunga nacho. Lakini huyo mwanae au ndugu ni lazima apande ngazi, kiuongozi, kwa njia za wazi na za kidemokrasia. Najisikia vizuri sana kwamba wanaChadema wame-exercise their democratic rights kuweka viongozi ambao kitaifa au, hata kimataifa, wamethibitisha ni mahiri kuliko hata waasisi.
Kivipi? Tueleze tujue.Hizi ni propaganda tu.
Kivipi? Tueleze tujue.
Umesema ukweli mzee wangu, Maana kama kweli wanataka kusema kuwa CHADEMA kina udini basi waanze kwanza kwa kusema CCM maana uongozi wake wote ni Waislam, Hakuna haja ya kuanza kuzungumzia masuala ya udini kwenye Politics maana hawa watu wanaonza kusema wao ndio WADINI, Sisi kama Taifa lazima kusimamia kwenye masuala ya msingi kwa Taifa hili, Kama Umaskini, Ufisadi, Wizi wa mali za umma na vitu vingine vya msingi katika Taifa letuWanaJF walio-respond kwa mchango wangu nawashukuru wote. Walionisulubu kuhusu role yangu ktk kukinusuru Chadema ili kisisambaratike, nawashauri wawasiliane na viongozi wakuu wa sasa-- yaani Mbowe, Slaa, Zitto na Arfi-- kuthibitisha kama Chadema kimeimarika baada ya Mkutano Mkuu au la. Kama jawabu ni ndio, basi hiyo ndio role ya wazee, hususan waasisi.
Kuhusu ukanda, ukabila etc. nimepata kueleza kwamba licha ya kushiriki kwangu ktk kuasisi Chadema, tumesisitiza na tumejitahidi tangu mwanzo kukifanya chama kiwe na kionekane ni cha kitaifa. Matunda ya efforts hizo yanaonekana katika "spread" ya Wabunge na Madiwani, Chadema kikiwa na Halmashauri za Tarime, Kigoma-Ujiji na Karatu kinachoongoza. Hakuna shaka sasa Chadema ni chama cha kitaifa.
Kuhusu Udini, hili ni sisitizo tangu mwanzo kwamba hatubaguani kidini, na wanaChadema hawaulizani wana dini gani. Mwenyekiti Taifa wa pili (Bob Nyanga Makani alikuwa Muislamu). Wakina Kabourou, Mchatta, Akwilombe wote walishika nafasi za uongozi wa juu na walikuwa Waislamu. Zitto, Arfi na wajumbe wengi wa Central Committee ni Waislamu.
Lawama za undugu: Nataka kusema kwamba haiwezekani mtu yeyote akaanzisha chama cha siasa na akamkataza mwanae au ndugu yake kujiunga nacho. Lakini huyo mwanae au ndugu ni lazima apande ngazi, kiuongozi, kwa njia za wazi na za kidemokrasia. Najisikia vizuri sana kwamba wanaChadema wame-exercise their democratic rights kuweka viongozi ambao kitaifa au, hata kimataifa, wamethibitisha ni mahiri kuliko hata waasisi.
wanajf walio-respond kwa mchango wangu nawashukuru wote. Walionisulubu kuhusu role yangu ktk kukinusuru chadema ili kisisambaratike, nawashauri wawasiliane na viongozi wakuu wa sasa-- yaani mbowe, slaa, zitto na arfi-- kuthibitisha kama chadema kimeimarika baada ya mkutano mkuu au la. Kama jawabu ni ndio, basi hiyo ndio role ya wazee, hususan waasisi.
Kuhusu ukanda, ukabila etc. Nimepata kueleza kwamba licha ya kushiriki kwangu ktk kuasisi chadema, tumesisitiza na tumejitahidi tangu mwanzo kukifanya chama kiwe na kionekane ni cha kitaifa. Matunda ya efforts hizo yanaonekana katika "spread" ya wabunge na madiwani, chadema kikiwa na halmashauri za tarime, kigoma-ujiji na karatu kinachoongoza. Hakuna shaka sasa chadema ni chama cha kitaifa.
Kuhusu udini, hili ni sisitizo tangu mwanzo kwamba hatubaguani kidini, na wanachadema hawaulizani wana dini gani. Mwenyekiti taifa wa pili (bob nyanga makani alikuwa muislamu). Wakina kabourou, mchatta, akwilombe wote walishika nafasi za uongozi wa juu na walikuwa waislamu. Zitto, arfi na wajumbe wengi wa central committee ni waislamu.
Lawama za undugu: Nataka kusema kwamba haiwezekani mtu yeyote akaanzisha chama cha siasa na akamkataza mwanae au ndugu yake kujiunga nacho. Lakini huyo mwanae au ndugu ni lazima apande ngazi, kiuongozi, kwa njia za wazi na za kidemokrasia. Najisikia vizuri sana kwamba wanachadema wame-exercise their democratic rights kuweka viongozi ambao kitaifa au, hata kimataifa, wamethibitisha ni mahiri kuliko hata waasisi.
ACHENI KUZUNGUKA ZUNGUKA, KUNA UHUSIANO MKUBWA WA CHADEMA, MTEI , NYERERE NA MBOWE!!
HIZI NDIO TETESI ZIKO KILA KONA NA WAKUBWA WANAZISEMA BILA WASIWASI
MTEI NA NYERERE ZILIKUWA HAZIIVI, BAADA YA MBOWE KUINGIA CHADEMA 1991, NYERERE AKAGEUKA NA KUSEMA CHADEMA NDIYO CHAMA CHENYE DIRA
UGOMVI WA MTEI NA NYERERE UKAISHA KUPITIA MBOWE.
Juzi ZITO KABWE KAJIFANYA KUTAKA KUGOMBEA UENYEKITI BILA KUJUA CHAMA KILE KIMEWEKWA.
ZITTO ALIKUWA ANASUBIRIWA KWA HAMU KUWA ANGELETA UPINZANI AMBAO HAUJAWAHI KUTOKEA KATIKA KIPINDI KIREFU
1. ZITO ANGEVUTA VIJANA
2. USHABIKI WA KISIASA KWA SABABU NI KIJANA MDOGO
3. MATAIFA YA NJE YALIKUWA YANATEGA MASIKIAO NA KWA MAONI 2020 CHADEMA INGESHIKA NCHI KAMA NA KAMA TU ZITO ANGEKUWA CHAIR
1995 MREMA NUSURA AIANGUSHE CCM, UPEPO UNGEKUWA MKALI SANA KWA SASA
ZITO ANGEANZA NA WABUNGE KWA MIAKA HII KUMI, BAADA YA KUWA NA NGUVU BUNGEANI NDIYO ANGESHIKA URAIS
UWT WALILIONA HILO NA WAKAANZISHA CONFUSIONS, ACHILIA MBALI TEXT MESSAGE
''MSIMRUHUSU HUYO KIJANA''
WAKATI MATAIFA MENGI YANATAFAKARI KILICHOTOKEA RANK YA ZITO NDANI YA CCM NA NJE YA NCHI IMEKUWA KUBWA MNO, BAADA YA KUKUBALI WALIYOMWELEZA.
SI PUNDE NDUGU HUYU ANAWEZAKUONDOLEWA KABISA NJI HII NA KWENDA KUTUMIKIA UMOJA WAMATAIFA!
WENGI HUMU NDANI NI WEPESI SANA KUJUDGE VITU BILA KUANGALIA KWA MAPANA
WORLDBANK , IMF na OTHER LOAN PROVIDERS WAMEKUWA WALIWAALERT WAWEKEZAJI WENGI WAMADINI TZ, AMBAO CURRENT WANAFANYA EXPLORATION, KUWA WAHAKIKISHE KATIKA KULETA FAIDA NDANI YA MIAKA 10, IKITARAJIWA REPORT ZA KIMATAIFA KUWA KUNA UWEZEKANO CCM KUTOKA MADARAKANI 2020.
BAADA YA ZITTO KUKOSA ILE NAFASI, MWAKANI TUTASHUHUDIA MIGODI MINGI KUFUNGULIWA, WAWEKEZAJI HAWANA HOFU TENA YA CCM KUONDOKA 2020,
KITAALAM, KAMA ANATOKEA STRONG LEADER OPPOSITION MARA NYINGI ANACHUKUA MIAKA 10-20, TANZANIA KUTOKANA NA WATU KUAMKA , MKUMBO, FATA UPEPO, ZITTO 2020(huyu zito, huyu huyu mnayemdharau) ANGESHINDA KWA KISHINDO BAADA YA KUWA NA WABUNGE WENGI.
JAZENI POST ANDIKENI, WEEE CCM BADO IKO MADARAKANI MIAKA MINGI SANA, THAT IS REALITY ..
CHADEMA WANAJUA WANACHOFANYA, MTEI ANAELEWA FIKA KAULI ZAKE , NA NANI ANAONGEA NAO, NASEMA ANAJUA YEYE,
IDEA YA NYERERE SIO CHADEMA KIWE CCM B, ILA KIWE TOTALLY CHAMA MBADALA CHA CCM, ILA WAJANJA WAKATUMIA MWANYA UO HUO, KUMWAMBIA MTEI SISI NI NDUGU KUMBUKA ULIVYOFADHILIWA NA NYERERE!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
IKIWA KUNAUSHABIKI WA KIVYAMA NA KISIASA NDANI YA FORUM KAMA HIZI, BASI HAKUNA KITAKACHOJADILIWA KWA LENGO LA KULISAIDIA TAIFA
wee mzee mimi nimekuuliza viti maalum vilipatikana kwa utaratibu gani kiasi cha wabunge wote kuwa na uhusiano na mkoa wako wa kilimanjaro? Naona unakwepa swali dogo kama hilo.
pili mtoto wako mbowe alipanda vipi kidemokrasia wakati zitto kabwe ulimzuia?
unajua kama sheria inakata mtu kama wewe kushiriki kikao cha kuamua suala ambalo lina mgangano wa kimaslahi.mimi ningekuwa zitto ningehakikisha kuwa nakutoa kwenye kikao cha kujadili masuala yanahusu mtoto wako(mbowe).nyerere watoto wake walikuwa tanu/ccm hakuwabeba kama unavyofanya wewe.
swali la msingi tarime wameongoza kuwapigia kura 2005 na karatu jee mbona hakuna mtu aliyetoka maeneo hayo akapewa ubunge wa viti maalum zaidi ya wachagga tu?
kuna taarifa kuwa makani ameoa dada yako ambaye ni mchagga ndio maana amekuwa mtii kwako.
mwanao-mbowe ana sifa gani ya ziada kumshinda zitto ya kushika uenyekiti ukiondoa sifa mama ya uchagga na kuwa mtoto wako.
mtoto wa ndesamburo anayeitwa lucy nani alimpitisha au kikao gani kilimpitisha awe mbunge wa viti maalum kupitia chadema?
wee mzee ukaguzi wa mahesabu ya chadema unafanywa na kampuni gani ya auditing? Jee kabila gani huyo auditor?
kutokana na uzee wako nakupa haya ili baadaye nikupige na maswali mengine?
Naungana na wewe mkuu wangu wa asilimia mia moja katika hili na pia kama kweli tunataka kupata serikali makini basi kuna haja ya kuimarisha Upinzani Tanzaniakanda2 naona kama una ongea najazba sana ? Maana viti maalumu leo havina maana tena Chadema they have see where they weny wrong sidhani kama kuna la kujirudia baadaye .
Wana JF nimesha sema huko nyuma tumekuwa mafundi sana wa kusema hapa ila uhalisia wa siasa tuna uacha .Hebu turudi chini na tuanzie kwetu wenyewe . Hapa tuna lalama lakini hatuchukui kadi na kuanza kujijenga ili baadaye tugombee nafasi hizo .Ila kuchonga tu .Chadema ilikuwa na tatizo kubwa sana na sas watu wana innyoshea kidole. Chadema ya Zitto na Mtei those days watu walikuwa wanasema kwamba hawawezi kitu mbele ya CCM. Watu walikuwa wanawacheka wakikutana pale mnazi mmoja .
Chadema ikapata wabunge na kuwapata viti maalumu wakapata wale ambao walikuwa wana shiriki kwa karibu mambo ya chama .Sawa Tarime na Karatu hawakupata nafasi inawezekana hapakuwa na Chama proper ila wakachagua upinzani .
Mimi nadhani we should move on na kuisaida Chadema . Ukitaka kumuunga mkono Zitto basi simama nyuma ya Chadema maana Zitto hana kinyongo na anakipenda Chama na anaipenda Tanzania . Fanya lako moja la kusaidia kusitokee shida tena mbeleni ndani ya Chadema .Walikosea Chadema na naamini wanajua hili na hawatarudia .
Pole sana Mzee wetu.Nawashukuru wanaJF wanaoona umuhimu wa kuimarisha chama tawala m'badala. Pia wale wanaoona ni vizuri kuachana na makosa yaliyofanyika zamani, na kujisahihisha kadri tunavyosonga mbele.
I must however state that although I welcome criticisms so that we can correct ourselves,, when emphasis is placed on far-fetched ideas and baseless rumours, I get a little disappointed by some JF Members. Surely to insinuate that Julius Nyerere favoured and praised Chadema because I am related to him through my daughter's matrimony is too crude for serious comment. In any case Nyerere praised Chadema when I was Chairman, years before Freeman Mbowe took a front seat in the party leadership. Freeman came to the front in 2002/2003, when Nyerere passed on in 1999.
Someone has suggested that some JF Members revel in posting contributions simply to attract attention. I guess that is why so many good contributions are made under pseudonyms. Anyway from now on I shall only read JF, not write unless absolutely necessary.
Nawashukuru wanaJF wanaoona umuhimu wa kuimarisha chama tawala m'badala. Pia wale wanaoona ni vizuri kuachana na makosa yaliyofanyika zamani, na kujisahihisha kadri tunavyosonga mbele.