katoto kazuri
JF-Expert Member
- Feb 10, 2018
- 6,126
- 5,762
Mimi nasubiri wana Chadema kama wapo mbona ni waoga??Mmmh! Basa sawaView attachment 1482684
Uko kwenu Arusha mtu akifa ndo mnaanza kumsimanga au akiwa hai ndo anasimagwa?Mimi na subiri wana chadema kama wapo mbona ni waoga??
Kweli umekubali eh asante mkuu"Napenda rangi yao kijana inaamanisha amani na chakula kipo .
Kijivu chadema meaning njaa"
MWISHO WA KUNUKUU
Na hawa ndio wapiga kura😀😀
Ni kweli kama hupendi kitu huwezi kujilazimishaMkuu unajua mpinzani anazaliwa toka utotoni aisee,
cha kushangaza ni kwamba yani toka utotoni sikuwahi kuipenda ccm mpaka sasa sielewi ni kwanini,
Ila akiwepo kiongozi Imara na mpenda haki basi mimi huwa huyo kiongozi namkubali sana..
Punguza fujo we mzee"Napenda rangi yao kijana inaamanisha amani na chakula kipo .
Kijivu chadema meaning njaa"
MWISHO WA KUNUKUU
Na hawa ndio wapiga kura😀😀
Anaonekana anapenda sana kula huyu.Punguza fujo we mzee
Uteuzi umeishaKipindi cha nyuma chadema kilikuwa chama kinachosifika sana ukisikia jina mbowe yaani unatemeka sio kwa kujitolea au sio kwa hoja zao ila kwa kil kitu zile uniform za grey wanaitana makamanda.
Nakumbuka huku Arusha vijana wengi walikifurahia wengine wakajitolea kwa Mh. Lema ilikuwa fujo na raha sana.
Ila kwasasa kimekufa hakisikiki sijui kwanini je humu chadema mpo au mmeshabadilisha tiketi kama Wema...
Mimi ni mtanzania ila sijakulia hapa so siwezi kuandika ujumbe vizuriUwe unaandika vizuri basi shost lol, but sorry km nmekukwaza.
.Kipindi cha nyuma chadema kilikuwa chama kinachosifika sana ukisikia jina mbowe yaani unatemeka sio kwa kujitolea au sio kwa hoja zao ila kwa kil kitu zile uniform za grey wanaitana makamanda.
Nakumbuka huku Arusha vijana wengi walikifurahia wengine wakajitolea kwa Mh. Lema ilikuwa fujo na raha sana.
Ila kwasasa kimekufa hakisikiki sijui kwanini je humu chadema mpo au mmeshabadilisha tiketi kama Wema.
Wema aliona anakaa na njaa akarudi CCM .
Wakuu hebu fungukeni .
Mimi ni CCM tokea nipate uelewa na nichaguo langu mazima .
Napenda rangi yao kijana inaamanisha amani na chakula kipo .
Kijivu chadema meaning njaa.
Karibuni kwa mapovu.
Oooh hongera san, ila uache kushabikia kijani sawa eeeh, au wee huon muenendo uliopo hapa nchini? Tena umeish mambele hko aaah badilika bhana.Mimi ni mtanzania ila sijakulia hapa so siwezi kuandika ujumbe vizuri
True sasa inabidi iwe hivyo kwa muda huu no option halafu hata tukiwapa kura tutaawaminije kuwa tuko safe kwa maana aliahidi Mengi moshi hajatimiza kabisaa.Oooh hongera san, ila uache kushabikia kijani sawa eeeh, au wee huon muenendo uliopo hapa nchini? Tena umeish mambele hko aaah badilika bhana.
Weee shost huijui vzur kijani, couz hujaish hapa nchini ila ouk bhana kuwa upande ambao unaona sahihi kwako. RelaaaaxTrue sasa inabidi iwe hivyo kwa muda huu no option halafu hata tukiwapa kura tutaawaminije kuwa tuko safe kwa maana aliahidi Mengi moshi hajatimiza kabisaa.
Magufuli katimiza silimia 50 ya ahadi yake na ndio mnasema tunabanwa kwa muda huu but ndio nchi iendelee sasa usipolipa kodi nchi itaendeshwaje??
Atleast kwa muda huu vumilieni tu amalizie miaka yake tutajua mbeleni.