CHADEMA chama cha kidalali na wapiga dili asema Dr. Slaa

CHADEMA chama cha kidalali na wapiga dili asema Dr. Slaa

Status
Not open for further replies.

Simiyu Yetu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2013
Posts
18,949
Reaction score
4,643
Katika hali isiyokuwa ya kawaida aliyekuwa katibu Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Dr. Wilbroad Peter Slaa amezionesha stakabadhi za malipo ambayo Lowassa aliyafanya ili kujiunga na chama hicho, Dr. Slaa amesema kuwa amefikia hatua hiyo ili kuwaonesha Watanzania kile kilichomfanya yeye kuondoka CHADEMA. Ameendelea kusema kuwa pia amesukumwa kufanya hivyo ili kuwaonesha wana CHADEMA waliokuwa wanambeza na kusema kanunuliwa ili mara nyingine wasirudie kusema mambo wasiokuwa na uhakika nayo.

Akiongea mbele ya vyombo vitatu vya habari akiwa mjini Austin, TX nchini Marekani ambako anachukua kozi fupi ya Sheria ili kujikumbusha vitu vilivyobadilika kwenye fani hiyo ambayo anatarajia kuanza kuifanyia kazi kuanzia Januari mwakani.

Nyaraka hizo za siri za CHADEMA zimezua gumzo kubwa nchini humo na watu wengi waliopata kuziona wameibeza sana CHADEMA na kuifananisha na chama cha Kidalali, chama cha wapiga pesa alisema Injinia Musa Kipao mkazi wa Tabata jijini Dar.
 
Ukweli umeshaeleweka waliobakia ni wa kaskazini tu ndo wanakomaa na chadema
 
Mngeshinda kihalali msingehangaika kiasi hiki wallahi
 
Habari za kutunga hizo. Slaa wala hayuko Nje ya nchi tuko nae hapa mjini katulia TULI.
 
Sasa hii habar yko mbona haielewek chanzo ni huyo musa kipao au wewe au nani?
 
Hayo siyo mazuri wala mqbaya bali ni ukweli uliopo pasina chenga.

Hayo aliyoongea angekuja ayasemee huku nyumbani Tz ndio tungejua ukweli, issue za chama cha Tz ww unaenda kuongelea USA:what:
 
Yaani chama kuu ccm kazi yao ni kutugawa tuuuu hebu jamani uchaguzi umeiisha msaidieni mzee pombe anahangaika mwenyewe mpaka inatia huruma....
Nanukuu ...jamani wagonjwa wanalala chini halafu mtu anapanda ndege kwenda ulaya?.mmm basi nisije nikasema mengi ..mwisho wa kunukuu
 
Mambo ya CHADEMA yawe gumzo Marekani??Kwa maana hiyo Edo alilipa hadi kodi kwenye hayo manunuzi??Weka hizo stakabadhi tuzione maanake hakuna maana ya kwenda kuwaonesha wamarekani ilhali wanaokutuhumu ni wamatumbi.
 
Ni wazi kuwa Chadema ni cha chama kilichojaa vichochoro vingi sana..Ni biashara iliyojivisha koti la siasa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom