Gud analysis mkuu ritz.
Tatizo la mashabiki na wanachama wa CDM hawayaoni haya. Kila siku chama kinazidi kudorora, wanashindwa kwenye chaguzi ndogo mbali mbali kwa tofauti kubwa, lakini halion hili!
Kazi kuimba tu Slaa, Slaa, Slaaa..
Ni
Ni ushindi mkubwa! ukichukulia CHADEMA haikuwa ikitambulika vizuri maeneo hayo kabla! Mbona hujaweka matokea ya Igunga!
Hivi unajua kama Chadema uchaguzi mkuu walipata kura nyingi Uzini, kuliko hizi walizopata. walipomsimamisha mgombea ubunge...tena walishika nafasi ya pili nyuma ya CCM.
wewe unaishi nchi gani?? hivi harakati zinazoendeshwa na bwana Heche mikoa mbalimbali huzioni?? akina mnyika na zitto Tanga huzioni?? Tafrani za igunga uzini na sasa arumeru huzioni?? au unataka maandamano tuu ndio ujue chama kipo hai?? pia chama kinathmini kujipambanua kwake kumepokeleaje na wapi pa kuongeza nguvu!! ccm wanatamba kwa rushwa, na ufisadi, na kuchota pesa hazina watakavyo, na kutumia jeshi la polisi kuuwa raia lakini hawatambi kwa kutetea maslahi ya wananchi au kuwaletea maendeleo..Wanabodi..
Mwenendo wa kisiasa, kati ya watani wa jadi CCM na Chedema sasa umeanza kuzua mijadala ndani ya jamii.
Wananchi wanahoji iko wapi kasi na upepo wa mabadiliko ilikuwa nao Chadema mwaka 2010 na mwaka jana ilikoyeyukia.
Huku CCM kilichokuwa kimeanza kudorora sasa kikionekana kupaa zaidi kuliko ilivyotarajiwa na wengi.
Mwamko wa Chadema ulianza kushika kasi mara baada ya Slaa, kuteuliwa kugombea Urais, mwamko huo uliendelea hata baada ya uchaguzi, na hasa baada ya chama hicho kuamua kufanya siasa zake kwa njia ya maandamo mikoa ya Kanda ya Ziwa hadi Nyanda za Juu Kusini.
Wadadisi wa mambo ya kisiasa wameanza kuhoji ni wapi kasi hiyo imeyeyeka ghafla na kukipa nafasi tena CCM kuanza kutamba katika maeneo mbali mbali nchini.
Hali hiyo ya kuanza kudorora kwa Chadema imelezwa pia kukikumba chama cha CUF kupoteza mvuto.
Chadema inatakiwa ibadili sera zake na falsafa mpya za kuendelea kuwashawishi Watanzania.
Mkuu Mkeshaji,
Huu ndio ukweli unajua kila siku unapiga kelele za ufisadi ufisadi, zimewachosha watanzania lazima Chadema kama chama ibuni falsafa mpya kutegemea kuhubiri ufisadi kama kete yake haitakisaidia Chadema huko tuendako.
Wewe inakuhusu nini kama sera zao CDM haziwasaidii wenyewe?Mkuu Mkeshaji,
Huu ndio ukweli unajua kila siku unapiga kelele za ufisadi ufisadi, zimewachosha watanzania lazima Chadema kama chama ibuni falsafa mpya kutegemea kuhubiri ufisadi kama kete yake haitakisaidia Chadema huko tuendako.
Mkuu Mkeshaji,
Huu ndio ukweli unajua kila siku unapiga kelele za ufisadi ufisadi, zimewachosha watanzania lazima Chadema kama chama ibuni falsafa mpya kutegemea kuhubiri ufisadi kama kete yake haitakisaidia Chadema huko tuendako.
Wanabodi..

Mwananchi wa kawaida wa huko vijijini, mfano wa Igunga, Uzini au hata Arumeru wanakojiandaa na uchaguzi mdogo, haoni madhara ya ufisadi, Ufisadi mnaujua nyie wa mjini yule wa mjini ana kero zake kutopata maji safi na salama, huduma ya afya, soko la uhakika la kuuzia mazao yake.
Ushauri wa bure. Anayeutaka ataubeba, na asiyeutaka ataupotezea.
Wanabodi..
Mwenendo wa kisiasa, kati ya watani wa jadi CCM na Chedema sasa umeanza kuzua mijadala ndani ya jamii.
Wananchi wanahoji iko wapi kasi na upepo wa mabadiliko ilikuwa nao Chadema mwaka 2010 na mwaka jana ilikoyeyukia.
Huku CCM kilichokuwa kimeanza kudorora sasa kikionekana kupaa zaidi kuliko ilivyotarajiwa na wengi.
Mwamko wa Chadema ulianza kushika kasi mara baada ya Slaa, kuteuliwa kugombea Urais, mwamko huo uliendelea hata baada ya uchaguzi, na hasa baada ya chama hicho kuamua kufanya siasa zake kwa njia ya maandamo mikoa ya Kanda ya Ziwa hadi Nyanda za Juu Kusini.
Wadadisi wa mambo ya kisiasa wameanza kuhoji ni wapi kasi hiyo imeyeyeka ghafla na kukipa nafasi tena CCM kuanza kutamba katika maeneo mbali mbali nchini.
Hali hiyo ya kuanza kudorora kwa Chadema imelezwa pia kukikumba chama cha CUF kupoteza mvuto.
Chadema inatakiwa ibadili sera zake na falsafa mpya za kuendelea kuwashawishi Watanzania.
tuwekeeni dislike jamani
Mkuu Mkeshaji,
Huu ndio ukweli unajua kila siku unapiga kelele za ufisadi ufisadi, zimewachosha watanzania lazima Chadema kama chama ibuni falsafa mpya kutegemea kuhubiri ufisadi kama kete yake haitakisaidia Chadema huko tuendako.
Ritz anaipenda sana CHADEMA. Hataki kuona chama hiki kinapoteza mvuto, kinasinzia wala kubweteka. Ndivyo ninavyoitafsiri thread hii. Nadhani yuko sahihi kwa maana kwamba tumaini hili pekee la upinzani likitoweka ni kazi ngumu kupata mbadala.