Chadema, CCM yametimia

Mkuu Mkeshaji,
Huu ndio ukweli unajua kila siku unapiga kelele za ufisadi ufisadi, zimewachosha watanzania lazima Chadema kama chama ibuni falsafa mpya kutegemea kuhubiri ufisadi kama kete yake haitakisaidia Chadema huko tuendako.
Ushauri wa bure. Anayeutaka ataubeba, na asiyeutaka ataupotezea.
 

Kuna watu uwezo wao wa kufikiri ni sawa na Inzi
 
uchunguzi wako ni kwa mujibu wa nini? au unasukumwa na unazi wa kupindukia ulionao juu ya CCM?
Mm sijaona huo mwamko watu walionao juu ya CCM!

Mwananchi wa kawaida wa huko vijijini, mfano wa Igunga, Uzini au hata Arumeru wanakojiandaa na uchaguzi mdogo, haoni madhara ya ufisadi, Ufisadi mnaujua nyie wa mjini yule wa mjini ana kero zake kutopata maji safi na salama, huduma ya afya, soko la uhakika la kuuzia mazao yake.
 
CCM wamekuja na mbinu mpya ambazo JK ametoka nazo uingereza kwa DAVID CAMERON...

Si unajua juzi tu walikuwa pamoja Davos na jana wakawa wote kwa summit ya wasomali. Endeleeni kutamba na mbinu zenu za kikameruuuuuum muwapelekee wana Arumeru.

Acha uongo, hakuna asiyejua kuwa CHADEMA ndicho kinachofadhiliwa na CAMERON ndiyo maana hadi leo hawajatoa tamko kuhusu ushoga
 

JF sio sehemu ya kupiga porojo......Uchunguzi wako ni kwa mujibu wa nn? weka supporting docs au data sio blah blah!
Usigeuze JF sehemu ya propaganda za CCM, propaganda zenu ni huko huko Daily news, Habari Leo, Uhuru, Mzalendo, Michuzi Blog, Radio Uhuru, TBC, Clouds FM..etc Hapa ni home of great thinkers! No Research no Right to Speak!
 
unjua ukitumia simu huwa sometyme haioneshi mleta uzi ni nani ila inaonesha mchangiaji wa mwisho. laiti ningejua ni huyu kichaa ndo kaleta huu uzi wala niseangaika kufungua hii post.

inavyoonekana CDM tunawakuna sana magamba yao mpaka tunawatoa damu.
Naapa kuwa tutaendelea kuwakuna kwa kutumia rato maana naona umma haiwaridhishi....
 
ccm oyeeeeeeeeeeee
ufisadi jadi yetu
 

Mtatoka roho mwaka huu.Mmeona udini hauna nafasi Arumeru mmekuja na kampeni za ukabila.Shame!
 
Mkuu Mkeshaji,
Huu ndio ukweli unajua kila siku unapiga kelele za ufisadi ufisadi, zimewachosha watanzania lazima Chadema kama chama ibuni falsafa mpya kutegemea kuhubiri ufisadi kama kete yake haitakisaidia Chadema huko tuendako.

Kelele za ufisadi zitaisha pale tu hatua muafaka zitachukuliwa kwa wanaohusika na sheria kali kuwekwa kwa watakao jaribu kufanya hayo..Mkuu usiwaunder-estimate watanzania Ufisadi unawakera na kwa kuwa wanaanza kuamka na kujua kwamba umaskini wao unasababishwa na watawala..kwahiyo wacha tuombe mema waamke vizuri watumie demokrasia vizuri kufanya mabadiliko ambayo ndiyo msingi wa maendeleo..!
 
ccm oyeeeeeeeeeeee
ufisadi jadi yetu
Marytina, hebu jaribu kusoma hapa chini
 

Hapo kwenye red ndo pame-shake the credibilty of ur IQ.
 
Siwezi kukulaumu kwa kauli yako ni matunda ya makuzi kutoka kwa wazazi wako!

Unachokijua wewe ni kuchochea watu kuwagawa kwa misingi ya udini na ukabila
 
Mkuu Mkeshaji,
Huu ndio ukweli unajua kila siku unapiga kelele za ufisadi ufisadi, zimewachosha watanzania lazima Chadema kama chama ibuni falsafa mpya kutegemea kuhubiri ufisadi kama kete yake haitakisaidia Chadema huko tuendako.
Watu wanasubiri ahadi yako kuhusu Arumeru Mashariki, kama ile uliyoitoa kuhusu Uzini.
 
uchaguzi wa madiwani waliopokwa haki zao arusha utafanyika lini?
 
Ilianza NCCR - Mageuzi ya Mrema wakati huo, Ikaja CUF na sasa CHADEMA. Vyote vinaibuka na kuzama CCM iko pale pale, upinzani wa kibongo bana!

Peleka nyuma kuleee
 

Sijui unataka data gani labda nikupe hii, matokeo ya uchaguzi mdogo wa majimbo mawili, Uzini, Igunga! au utasema Chadema waliibiwa kura?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…