- Bro. Meli zote za kmataifa zina machine za kubebea cargo, mimi nilikuwa ninafanya kazi kwenye meli ya kubeba Udongo wa Coal, sasa hakuna binadam anaweza kubebab Coal mgongoni mwake, tumia akili kidogo sana tu! ha! ha! ha!
- Ni kawaida ya mlevi kuamini wengine wote ni walevi, so is mnafiki!
William.
kaka umemaliza unfairly.....labda alikuwa anamaamisha manua lbour ktk meli ambazo si lazima zote zihitaji lift.katika meli kuna huduma haramu nyingi...achilia mbali hizo zotolewazo na victim wa human trafficking au hata zisizo na mikataba halali.Tena za mizigo na cruise vessels ndio zina mazingira stawishi ya unyonyaji.Wewe ni mambo safi labda ajira yako na mmiliki wa meli ulizofanya alikuwa anafuata mambo mengi ya msingi katika sheria za kimataifa.Au hata kuna mambo hukuona haja ya kuyatazama na hivyo hukuona.
Ukirelax kidogo views zako kwa industry ya maritime utaweza ona pa kueleweshana na huyu jamaa.Kuna mifano mingi, wabunge wengi wanakaa dar ila kuna taabu nyingi sana wanaziona njiani mpaka wanapofika dodoma ila wengine hawajaziona kabisa au hata kujiuliza kitu kwa watu hao, wengine wandhani hao watu wanastahili kwa vile waliumbwa vile au ni makosa yao, wengine wanaamini si kila mtu anaweza kuwa na maisha kwani kila mtu akiwa na pesa watu hawatafanya kazi na upotofu mwingine.
Naomba usiwe km Kikwete pale Slaa alipowashangaa watu wa Chalinze ambao rais kwa miaka yote akiwa mbunge na waziri, na hata rais kwa kipindi kimoja hajafanya mabadiliko na sasa hata nguo hawana zaidi ya Tsh an kanga za CCM akaendelea kusema kusema picture zilizobandikwa ktk milango ya vile vibanda gharama ni kubwa kuliko mlano.Rais hakuongelea kitu sijui hakuwa ameliona, au alidhika kwa hilo au lah..Nakumbuka nilikuwa njiani kuelekea arusha na niliweza ona picture kubwa na za quality ya juu ktk vibanda vya nyasi na milango bamboo.Niliona ukweli ,nililia sikuelewa ni kwanini rais na kuona kote mbali, na ukaribu uliopa na jiji kashindwa hamasisha maendeleo? au anaamini kuwa yeye ndiye alisahili?Na yeye kukaa nao kipindi cha kura, matambiko, au hata sikuu za kidini kunatosha?
Rais hakuhitaji wapendelea na kuwapelekea hela za watanzania wengine, kwa ni vibaya na km wamedhoofishwa kifikra na kiutamaduni bado wanaweza pewa kila kitu ila over time favour zikisha bado watapitwa tena na wachapakazi.
Kaskazini si kuwa walipendwa na kubebwa sana km inavyoweza fikiriwa ila ni spirit yao na tamaduni zao .Kilimanjaro ni ndogo sana na wachaga ni sehemu ndogo sana ya watu wa mkoa mzima unaojumuisha na jamii za wapare, wamasai na waamiaji wengine ila wamekuwa na mafanikio ktk mazingira adui.Hawana viwanda, hawana ardhi, hawaruhusiwi kuongelea urais ktk CCM, wakienda mikoa mingine hupokelea na kebehi na kejeli ila muda si mrefu wanaona opportunities na kuwa key players.
So kaka hayo maelezo ni kutaka kukumbusha km kiongozi jinsi gani unaweza angalia namna ya kujibu hoja ukijua kuna maelezo mbadala hasa ukiwa umepata kuwepo ktk mazingira ambayo wengine hawakupata kufikia hapo ulipo.Waliopitia mazingira km yako huwa si rahisi kuona vitu ktk mazingira yao.Rais hajawahi ona sehemu duniani iliyozidi chalinze ndio maana, hakuweza kuja na wazo mbadala kabla hata ya kuwa rais.
Ndio maana mimi naweza kuwa nakupenda sana ila kura yangu mikampa Lema au hata Sugu.Kwa vile route zao na waliyoyafanya na wanayoweza fanya kwa muda muafaka, ni ndoto wengi wanaoitwa madokta hata mprof. Tanzania.Sitaki ucheke km ulivyocheka ktk thread kuhusu Sugu, Lema,Mnyika, Zito na wengine ktk CDM.Sipendi ucheke km kicheko cha Pinda kabla ya kujibu maswali ya papo kwa hapo ya wapinzani halafu baadaye kujikuta na maswali km ya Mbowe (Nilimuonea huruma kwani baada ya jibu la dharau na kicheko,swali lililofuata waziri mkuu akwa kituko).But napenda kuhakikishia kuwa ukiwa unawafuata vizuri hawa vijana hata kwa siri huku ukiwa CCM au hata nje utafanikiwa sana. Sugu kapita route ambayo sidhani km ungepita bila ku give in, Zito na Mnyika walikuwa na vision na wala siiti ndoto kwani walikuwa na hakika kuwa CDM ndicho chama chao.Kipindi hicho CDM hata wakipita huwezi geuka.
Hawa ndio wanaweza sema ktk miaka 20 ijayo tunaweza kuwa na mikoa mingapi iliyozidi dar kimaendeleo na nikawa na ujasiri kuweka dau.JIFUNZE KUWA NA ALTERNATIVE SOLUTION NA KUPATA BIGGER PICTURE KTK MATAMSHI YA WATU