Chadema Botswana

Chadema Botswana

rosemarie

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2011
Posts
6,887
Reaction score
3,441
kuna taarifa zimepatikana sasa hivi chadema yakubalika kwa nguvu kwa watanzania waishio Botswana
wengi wao ni professionals wamekaa na kuamua ku-support chama
taarifa zaidi zinakuja
 
tupe taarifa za uhakika na zilizokamilika mkuu
 
Back
Top Bottom