Mhere Mwita
JF-Expert Member
- Jan 24, 2012
- 235
- 1,275
kwahiyo nyie wengine hamuwezi kuongoza?
Mbona kingunge amezeekea ndani ya ccm?kulikuwa hakuna mtu wa kukiongoza chama na kushauri?
Kwa taarifa yako rais ambae watanzania wanamuhitaji ni msomi zaidi wa uchumi. Naye ni Prof. Anna Tibaijuka. Huyo ndie chaguo la vijana wasomi na wanawake na watanzania kwa ujumla. Prof. Anna Tibaijuka ndo habari ya mjini sasa hivi kwa mbio za urais 2015Huwezi kuongelea mafankio ya CHADEMA bila kuwataja hawa watu wawili, Mbowe na Dr. Slaa. Kwa mimi ninawaona kama ni nahodha makini ambao waliolipeleka salama jahazi letu na tena kwa mafanikio makubwa.
Tuongelee suala la katiba mpya, ni ahadi ya Dr. Slaa mwaka 2010 na kweli ametimiza. Ninaomba tena wapewe nafasi ya kutawala ili watuvushe katika uchaguzi ujao salama.
Kwahiyo alikuwa Mwenyekiti au Katibu? Halafu nyinyi hamuwezi kuchukuwa Dola kwa kutegemea kanda Moja
Kwahiyo alikuwa Mwenyekiti au Katibu? Halafu nyinyi hamuwezi kuchukuwa Dola kwa kutegemea kanda Moja
Huwezi kuongelea mafankio ya CHADEMA bila kuwataja hawa watu wawili, Mbowe na Dr. Slaa. Kwa mimi ninawaona kama ni nahodha makini ambao waliolipeleka salama jahazi letu na tena kwa mafanikio makubwa.
Tuongelee suala la katiba mpya, ni ahadi ya Dr. Slaa mwaka 2010 na kweli ametimiza. Ninaomba tena wapewe nafasi ya kutawala ili watuvushe katika uchaguzi ujao salama.
Mliozoea siasa za maandamano mtapata shida sana kumwelewa Dr. Mashinji.Ukitaka kujua kama siasa ni mchezo mchafu na ni bora kufanya biashara ya nanasi au tikiti maji unaeza kunufaika zaidi kuliko kuwa mtumwa wa propaganda zisizokuwa na nyuma wala mbele.
Haya hebu leo tuambie Dr. Slaa hayupo, je unaweza kuwa mkweli na kutuambia jinsi mlivyoyumba? Au utakuja na porojo mpya za kutushawishi kwamba hakuna kilichobadilika? Sidhani kama viatu vya Slaa, Dr.Mashinji kama ameweza kuvivaa, naona bado vinamtela sana.
Walau Tundu Lisu angefaa kidogo. Sitaki kuamini umakini wa CHADEMA niliyokua naifahamu leo haina cha kusema kuhusu kupotea kwa Ben Saanane.
Kweli ufa wa Dr. Slaa hauzibiki CHADEMA
Naona kumbe Operation UKUTA ilikuwa danganya toto kwa WanaCHADEMA huku Viongozi wao wakijua hawatafanya lolote..dah mwaka huu tutajua mengiMliozoea siasa za maandamano mtapata shida sana kumwelewa Dr. Mashinji.
Wengi mlidhani operation UKUTA ni maandamano, UKUTA ni Umoja wa kupambana na Udikteta Tanzania operation bado inaendelea.Naona kumbe Operation UKUTA ilikuwa danganya toto kwa WanaCHADEMA huku Viongozi wao wakijua hawatafanya lolote..dah mwaka huu tutajua mengi