N nasibubm New Member Joined Nov 2, 2010 Posts 1 Reaction score 0 Nov 2, 2010 #1 Biaramulo chadema wamechukua
Easymutant R I P Joined Jun 3, 2010 Posts 2,564 Reaction score 1,135 Nov 2, 2010 #2 nasibubm said: Biaramulo chadema wamechukua Click to expand... sina uhakika kama unaweza pata data za wagombea kwa maana ya idadi ya kura itakuwa na tija zaidi pia ni BIHARAMULO sio biaramulo
nasibubm said: Biaramulo chadema wamechukua Click to expand... sina uhakika kama unaweza pata data za wagombea kwa maana ya idadi ya kura itakuwa na tija zaidi pia ni BIHARAMULO sio biaramulo
PakaJimmy JF-Expert Member Joined Apr 29, 2009 Posts 16,202 Reaction score 8,787 Nov 2, 2010 #3 Unless you bring here tangibles,......
Kituko JF-Expert Member Joined Jan 12, 2009 Posts 9,555 Reaction score 9,380 Nov 2, 2010 #4 PakaJimmy said: Unless you bring here tangibles,...... Click to expand... ni kweli nimepata kutoka kwenye source ya uhakika Jimbo limeenda Chadema, za urahisi pia Slaa yupo juu ya JK, ni habari za uhakika wakuu
PakaJimmy said: Unless you bring here tangibles,...... Click to expand... ni kweli nimepata kutoka kwenye source ya uhakika Jimbo limeenda Chadema, za urahisi pia Slaa yupo juu ya JK, ni habari za uhakika wakuu
KakaKiiza Platinum Member Joined Feb 16, 2010 Posts 11,948 Reaction score 9,464 Nov 2, 2010 #5 Easymutant said: sina uhakika kama unaweza pata data za wagombea kwa maana ya idadi ya kura itakuwa na tija zaidi pia ni BIHARAMULO sio biaramulo Click to expand... Kaongea kiarabu lakini ujumbe umefika japo umevunjikavunjia!
Easymutant said: sina uhakika kama unaweza pata data za wagombea kwa maana ya idadi ya kura itakuwa na tija zaidi pia ni BIHARAMULO sio biaramulo Click to expand... Kaongea kiarabu lakini ujumbe umefika japo umevunjikavunjia!
K king ndeshi Senior Member Joined Oct 31, 2010 Posts 135 Reaction score 7 Nov 2, 2010 #6 ngoja nifute machozi...............................yafuraha offcoz!:A S-cry:
Kituko JF-Expert Member Joined Jan 12, 2009 Posts 9,555 Reaction score 9,380 Nov 2, 2010 #7 za uraisi figure ziko karibu na hizi Chadema 28,000, CCM 20,000, hizo namba zina mamia lakini zikuweza kuzishika vizuri
za uraisi figure ziko karibu na hizi Chadema 28,000, CCM 20,000, hizo namba zina mamia lakini zikuweza kuzishika vizuri
Msanii Platinum Member Joined Jul 4, 2007 Posts 26,390 Reaction score 39,917 Nov 2, 2010 #8 wakuu nipo maliwatoni lakini nafuatilia hizi news. kuna any reliable evidence jamani?????? nataka nikatishe haja nikimbilie barazani kushereheka
wakuu nipo maliwatoni lakini nafuatilia hizi news. kuna any reliable evidence jamani?????? nataka nikatishe haja nikimbilie barazani kushereheka
N Ngaya sawe New Member Joined Oct 27, 2010 Posts 1 Reaction score 0 Nov 2, 2010 #9 Kituko said: za uraisi figure ziko karibu na hizi Chadema 28,000, CCM 20,000, hizo namba zina mamia lakini zikuweza kuzishika vizuri Click to expand... Kwa mwendo huu maisha bora kwa watanzania wote hayapo mbali baada ya mafisadi kushindwa!!!!!!
Kituko said: za uraisi figure ziko karibu na hizi Chadema 28,000, CCM 20,000, hizo namba zina mamia lakini zikuweza kuzishika vizuri Click to expand... Kwa mwendo huu maisha bora kwa watanzania wote hayapo mbali baada ya mafisadi kushindwa!!!!!!
M MpitaNjia Member Joined Nov 6, 2007 Posts 47 Reaction score 1 Nov 2, 2010 #10 Ni jimbo la Biharamulo Magharibi.... wametangaza tangu jana limechukuliwa na CHADEMA Jimbo la Chato pia lipo Biharamulo wamechukua CCM... John Pombe Magufuli
Ni jimbo la Biharamulo Magharibi.... wametangaza tangu jana limechukuliwa na CHADEMA Jimbo la Chato pia lipo Biharamulo wamechukua CCM... John Pombe Magufuli