CHADEMA: Bajeti itapita kwa kishindo

CHADEMA: Bajeti itapita kwa kishindo

Gizakuu

Member
Joined
Apr 29, 2012
Posts
38
Reaction score
13
Nimemsikia Chiku Abwao bungeni leo jioni akisema kwa niaba ya cdm anajua bajeti ya 2012/13 itapita kwa kishindo kwani Cdm hawana uwezo wa kuizuia kwahiyo Wao nao wanatmiza wajibu tu....
 
Walitaka ipite bajeti kiza? yenye mapato "0"?
 
Bajeti ya hovyo hovyo itapitishwa na wabunge wa hovyo hovyo.
 
...Unategemea nini kutoka kwa mapunguani wa Magamba. Nchi inayumba haina maendeleo lakini wenyewe hata mshtuko hawana wanakanyaga tu bora liende.
 
Yule jamaa aliyekupa safari ya USA mwaka Jana ni dhaifu

Hahahaha sio mchezo hili neno dhaifu naona ndio imekuwa habari ya mjini now,tuna mtu dhaifu kwenye hii nchi

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Ukiona hivyo jua ya kwamba tayari wameshajua kuwa hakuna mabadiliko yatakayofanyika kutokana na ushabiki ya ccm juu ya bajeti yao
 
Tulifahamu hilo kabla. Maana hii bajeti dhaifu itapitishwa na wabunge dhaifu walio wengi Bungeni. Na udhaifu huu utaendelea kutumaliza.
 
Budget dhaofu. Bunge dhaifi. Raisi dhofu. ltapita kwa kishindo. kumbe zungu anamzidi sana ndungai. Iq ni muhimu kupmwa.
 
Nimemsikia Chiku Abwao bungeni leo jioni akisema kwa niaba ya cdm anajua bajeti ya 2012/13 itapita kwa kishindo kwani Cdm hawana uwezo wa kuizuia kwahiyo Wao nao wanatmiza wajibu tu....

Itapitishwa na wabunge DHAIFU.
 
Wanaoipitisha kw kishindo ndio wanaongoza kwa kulalamika.
 
Juu si ndio kwa mr Dhaifu

Nenda kazibe kama unaweza!

Tuonesheni ambae si dhaifu yupi wa kabla yake aliyefanya la maendeleo zaidi ya huyu mnaesema ni dhaifu.

Nakuhakikishia hamuwezi, roho zinawauma kwa kuwa tu, pale mliposhindwa nyinyi kwa miaka 24 mfululizo, yeye anapafanya kiurahiiiiisi kabisa.

Nyinyi kafanyeni maandamano kwenye barabara za lami alizo/anazo jenga Kikwete. - Magufuli, Jangwani.
 
ZOBA acha hizo bana! madini yetu kayagawa bure, anahongwa kujengewa barabara kwa mkopo wewe unaona ni akili hiyo!!!
Jk Ni dhaifu tu.
 
jana nilimsikiliza vizuri Mnyika, bungeni ni porojo tu, wabunge kama hawataipitisha hii bajeti, basi rais atavunja bunge kutokana na sheria, ni rais tu anayeweza kuizuia hii bajeti, kama kweli sheria zipo hivyo mi naona wanatuzuga tu, ni wote wanajuwa hawawezi fanya lolote
 
Back
Top Bottom