We siumesema haitashinda bse by tht time itakuwa imekufa?? So how comes unasema itashika tena no. 2 au 3?? This is a paradox!!Wewe hayo ya kwako mimi ninachojua kimoja tu CDM haishindi 2015 itakuwa nafasi ya pili kama sio ya tatu.
then hii ni research ni vigumu sana kuiamini results zake labda itumike kwa mtaa uliofanyia tuni ngumu sana kufanya research mikoa uliyotaja kwa kuwa mimi ni mkaazi wa Arusha
Kuna maswali kadhaa uliyoyaepuka, sijaajua ni kwa nini...anyway
1. With evidence, prove me wrong if i say hawana Jazba.
2.Kuhusu M4C kuishiwa hela, silijui and as far as ma concern si mwanachama wala msemaji wa CHADEMA, Labda wale wanachama wanaweza kuzungumzia hilo katika pita pita zao hapa jamvini.
3. Sijui ni nani "mmiliki wa hiyo kampuni", ila ninachoshindwa kuelewa, ila katika maamuzi kuna either mmoja au wachache wanaweza ku-overrule kutokana TU na nyadhifa zao, hii ni katika Vyama vya siasa, Kijamii, Kidini .nk...na si REGULAR!! Just depending on circumstances.
4. With your point, unataka kusema kuwa
hawatajiandikisha kupiga kura?
-Wale waliojiandikisha ndio watakuwa wapiga kura pekee
wa kitanzania DAIMA?
Endelea kubweka....... Katoe hiyo kadi kwa sycophant wenzio na cio miye!Wewe mwenyewe tutakupa kadi ya CCM.
Muheshimiwa kuropoka tu kwamba huyu atashinda au huyu hashindi siyo rahisi hivyo. tupe pionts za maana kwanini huyu na si yule nadhani hilo hasa ndilo linatufanya tuwe hapa, bila ya hivyo nitakuamini kwamba wewe ni mshirikina na ni muumini wa ramli.CDM haiwezi kushinda
Naomba izipitie comment zangu nimeshatoa sababu 11Muheshimiwa kuropoka tu kwamba huyu atashinda au huyu hashindi siyo rahisi hivyo. tupe pionts za maana kwanini huyu na si yule nadhani hilo hasa ndilo linatufanya tuwe hapa, bila ya hivyo nitakuamini kwamba wewe ni mshirikina na ni muumini wa ramli.
Hatubishanii nani atashinda au nani hashindi. Hapa ni "kama" CHADEMA itashinda mwaka 2015 ila wewe kwa kuwa una mlengo wako mwingine kabisa unaamini ni CCM pekee ndiyo wenye haki ya kutabiriwa kushinda mwaka 2015. Kama CHADEMA ikishinda?Naomba izipitie comment zangu nimeshatoa sababu 11
Mimi ninatoa na sababu kwanini Chadema haishindi. Hatufanyi vitu hapa kwa miujiza tunafanya kwa fact.Hatubishanii nani atashinda au nani hashindi. Hapa ni "kama" CHADEMA itashinda mwaka 2015 ila wewe kwa kuwa una mlengo wako mwingine kabisa unaamini ni CCM pekee ndiyo wenye haki ya kutabiriwa kushinda mwaka 2015. Kama CHADEMA ikishinda?
hapa wote tuna labdisha nini kitatokea mwaka 2015 hakuna mwenye hakika ni nini kitatokea kati ya leo na mwaka 2015.
Tuambie kama unao na kama ni utafiti ni wa aina gani na hili inaegemea kwenye ile falsafa isemayo "kama huna utafiti huna haki ya kusema" au "No research no right to speak" NAKUSUBIRI!!Ndio ninao.
Hatubishanii nani atashinda au nani hashindi. Hapa ni "kama" CHADEMA itashinda mwaka 2015 ila wewe kwa kuwa una mlengo wako mwingine kabisa unaamini ni CCM pekee ndiyo wenye haki ya kutabiriwa kushinda mwaka 2015. Kama CHADEMA ikishinda?
hapa wote tuna labdisha nini kitatokea mwaka 2015 hakuna mwenye hakika ni nini kitatokea kati ya leo na mwaka 2015.
Naomab nikupe machache tu mengine nitakueleza siku nyingineTuambie kama unao na kama ni utafiti ni wa aina gani na hili inaegemea kwenye ile falsafa isemayo "kama huna utafiti huna haki ya kusema" au "No research no right to speak" NAKUSUBIRI!!
kwa kweli nimezipitia na sijaona point ya maana sana na hautakuwa na maelezo ya kutosha kututhibitishia. Yote uliyosema ni rahisi kuyabadilisha kwa usiku mmoja tu.Naomba izipitie comment zangu nimeshatoa sababu 11
Kivipi watu kupigana utabadili siku moja?kwa kweli nimezipitia na sijaona point ya maana sana na hautakuwa na maelezo ya kutosha kututhibitishia. Yote uliyosema ni rahisi kuyabadilisha kwa usiku mmoja tu.