Tuondoleee ungese wako hapa jfMgombea urais kupitia chadema, Mh Lowasa amejikuta tena katika wakati mgumu baada ya mamia ya vijana wanaojiita Chadema asilia, kutaka mgombea huyo asisimame kuhutubia kwani makandokando yake yanajulikana, hata hivo hali ilizidi kuwa ngumu walipoza sauti za kuzomea wakimtaja FISADI! FISAD! FISADI! Wengine wakimtaja Dr Slaa.
Mgombea urais kupitia chadema, Mh Lowasa amejikuta tena katika wakati mgumu baada ya mamia ya vijana wanaojiita Chadema asilia, kutaka mgombea huyo asisimame kuhutubia kwani makandokando yake yanajulikana, hata hivo hali ilizidi kuwa ngumu walipoza sauti za kuzomea wakimtaja FISADI! FISAD! FISADI! Wengine wakimtaja Dr Slaa.
Tuondoleee ungese wako hapa jf
Mlitaka iwe hivyo ila haijawa.
Hizi ni propaganda tu
Mzee lowasa utavuna ulichopanda, hapo bado hujaanza kutumikia kifungo