Gangongine
JF-Expert Member
- Dec 31, 2015
- 3,854
- 1,776
Upuuzi umekujaaIngawa wakubwa wetu waliamua kukusaliti kwa tamaa zao, ukweli ni kwamba pengo Lako wameshindwa kujaza mpaka sasa. Cha Ajabu sasa ni kwamba hakuna utaratibu unaoeleweka wa kuzungumzia mambo ya Chama. Chama kinaongozwa na matamko ya Viongozi hasa Yule uliyetuasa tusimpokee. Bungeni tunaendelea na ule utoto wa kuzomea na kupiga kelele Kama walevi na sasa hatuna tena hoja za msingi za kuibana Serikali! Hakika tuna hali mbaya hasa Baada ya kuikana Sera yetu ya kupinga Ufisadi na kutetea Rasilimali za Umma. Tunaona aibu kukuomba msamaha maana tulikukashifu kwa majina ya kipuuzi tukijawa kiburi kwa kuaminishwa kwamba uliyemkataa atatupeleka IKULU saa 2 asubuhi tarehe 25 Oktoba, 2015 lakini haikuwa hivyo. Hakika Wafiachama hatutakusau Kamwe
Binti uwe na heshima kwa waliokuzidi umriUpuuzi umekujaa
Halima mdee na Jesca kishoa wameelezea u fisadi wa mwakyembe kuhusu mabehewa fekiToka bunge linaanza hakuna hata mmbunge mmoja wa UKAWA alietamuka neno ufisadi, Hongera Lowasa.
Umewafanya maadui zako wakusujudu.
kama wewe umeshazoea kuolewa endelea usitafute wanachama wengineNenda akakuoe
Kubenea aliteleza alianza kuzungumzia escrow mara akagundua atamgusa mzee na richmond. akaona apeleke hoja ya shanga na vyupi. ujuha gani huu. naamini Kubenea angekuja chadema wakati Dr Slaa yupo! angepikwa kwanza kabla ya kwenda kuropoka ropoka bungeniToka bunge linaanza hakuna hata mmbunge mmoja wa UKAWA alietamuka neno ufisadi, Hongera Lowasa.
Umewafanya maadui zako wakusujudu.
Kwahiyo ufisadi wa mabehewa feki alio husishwa nao Mwakyembe alikuwa anapongezwa na Kishoa?Toka bunge linaanza hakuna hata mmbunge mmoja wa UKAWA alietamuka neno ufisadi, Hongera Lowasa.
Umewafanya maadui zako wakusujudu.
Walaumu akina Membe, Mwakyembe, Nape na Makonda ambao walitumika kumrubuni kisha akanunuliwa na kuwasariti ukawa.Ingawa wakubwa wetu waliamua kukusaliti kwa tamaa zao, ukweli ni kwamba pengo Lako wameshindwa kujaza mpaka sasa. Cha Ajabu sasa ni kwamba hakuna utaratibu unaoeleweka wa kuzungumzia mambo ya Chama. Chama kinaongozwa na matamko ya Viongozi hasa Yule uliyetuasa tusimpokee. Bungeni tunaendelea na ule utoto wa kuzomea na kupiga kelele Kama walevi na sasa hatuna tena hoja za msingi za kuibana Serikali! Hakika tuna hali mbaya hasa Baada ya kuikana Sera yetu ya kupinga Ufisadi na kutetea Rasilimali za Umma. Tunaona aibu kukuomba msamaha maana tulikukashifu kwa majina ya kipuuzi tukijawa kiburi kwa kuaminishwa kwamba uliyemkataa atatupeleka IKULU saa 2 asubuhi tarehe 25 Oktoba, 2015 lakini haikuwa hivyo. Hakika Wafiachama hatutakusau Kamwe
Richmond ni ya Kikwete pia escrow Lowasa na hizo dili havina uhusiano.Kubenea aliteleza alianza kuzungumzia escrow mara akagundua atamgusa mzee na richmond. akaona apeleke hoja ya shanga na vyupi. ujuha gani huu. naamini Kubenea angekuja chadema wakati Dr Slaa yupo! angepikwa kwanza kabla ya kwenda kuropoka ropoka bungeni
Mabilion ya marehemu Gadafi toka bank ya nyumbani kwa Membe ndiyo yalitumika kumnunua Dr Slaa madalali wa mchongo wote walikuwa Nape na Makonda huku Mwakyembe akiwa mshauri mkuu.Toka bunge linaanza hakuna hata mmbunge mmoja wa UKAWA alietamuka neno ufisadi, Hongera Lowasa.
Umewafanya maadui zako wakusujudu.
Ingawa wakubwa wetu waliamua kukusaliti kwa tamaa zao, ukweli ni kwamba pengo Lako wameshindwa kujaza mpaka sasa. Cha Ajabu sasa ni kwamba hakuna utaratibu unaoeleweka wa kuzungumzia mambo ya Chama. Chama kinaongozwa na matamko ya Viongozi hasa Yule uliyetuasa tusimpokee. Bungeni tunaendelea na ule utoto wa kuzomea na kupiga kelele Kama walevi na sasa hatuna tena hoja za msingi za kuibana Serikali! Hakika tuna hali mbaya hasa Baada ya kuikana Sera yetu ya kupinga Ufisadi na kutetea Rasilimali za Umma. Tunaona aibu kukuomba msamaha maana tulikukashifu kwa majina ya kipuuzi tukijawa kiburi kwa kuaminishwa kwamba uliyemkataa atatupeleka IKULU saa 2 asubuhi tarehe 25 Oktoba, 2015 lakini haikuwa hivyo. Hakika Wafiachama hatutakusau Kamwe
Nenda kacheze taarabu asiliaIngawa wakubwa wetu waliamua kukusaliti kwa tamaa zao, ukweli ni kwamba pengo Lako wameshindwa kujaza mpaka sasa. Cha Ajabu sasa ni kwamba hakuna utaratibu unaoeleweka wa kuzungumzia mambo ya Chama. Chama kinaongozwa na matamko ya Viongozi hasa Yule uliyetuasa tusimpokee. Bungeni tunaendelea na ule utoto wa kuzomea na kupiga kelele Kama walevi na sasa hatuna tena hoja za msingi za kuibana Serikali! Hakika tuna hali mbaya hasa Baada ya kuikana Sera yetu ya kupinga Ufisadi na kutetea Rasilimali za Umma. Tunaona aibu kukuomba msamaha maana tulikukashifu kwa majina ya kipuuzi tukijawa kiburi kwa kuaminishwa kwamba uliyemkataa atatupeleka IKULU saa 2 asubuhi tarehe 25 Oktoba, 2015 lakini haikuwa hivyo. Hakika Wafiachama hatutakusau Kamwe
Cdm Morden ndio tunapasua anga na kuongeza wabunge lukukiIngawa wakubwa wetu waliamua kukusaliti kwa tamaa zao, ukweli ni kwamba pengo Lako wameshindwa kujaza mpaka sasa. Cha Ajabu sasa ni kwamba hakuna utaratibu unaoeleweka wa kuzungumzia mambo ya Chama. Chama kinaongozwa na matamko ya Viongozi hasa Yule uliyetuasa tusimpokee. Bungeni tunaendelea na ule utoto wa kuzomea na kupiga kelele Kama walevi na sasa hatuna tena hoja za msingi za kuibana Serikali! Hakika tuna hali mbaya hasa Baada ya kuikana Sera yetu ya kupinga Ufisadi na kutetea Rasilimali za Umma. Tunaona aibu kukuomba msamaha maana tulikukashifu kwa majina ya kipuuzi tukijawa kiburi kwa kuaminishwa kwamba uliyemkataa atatupeleka IKULU saa 2 asubuhi tarehe 25 Oktoba, 2015 lakini haikuwa hivyo. Hakika Wafiachama hatutakusau Kamwe