CHADEMA Arusha mahakamani ktk picha

Arusha hamna tena Jipya....ndio maana imepita kimya kimya, Umaarufu wa Lema umekwisha! Inabidi aumize kichwa sana kutafuta njia ya kukubalika tena na jamii!
Turudi kwemye current issue ya CDM kwenda kujikomba kwa Rais wa Nchi! CDM imetia aibu!!!!
Wewe sheikh ubwabwa unataka jipya kutoka arusha kwani umeskia arusha ni music band???? umaarufu sio wakati wake huu, since uchaguzi upite mpaka sasa Mbunge wa arusha mjini bila kushurikiana na halmashauri anasomesha watoto 417 wasiokuwa na uwezo, je mtu huyu ni wa kutafuta umaarufu tena???
 
Kinachotafutwa siyo hicho bali ni kum keep Lema busy na makesi ili ajisikie fresh. Kesi hiyo hata tarehe 20.12.2011 itaahirishwa.

kwani amekwambia anapenda makesi? mwulize ndugu yako rejao kwa nini Lema kila siku akiongea na wananchi anafunguliwa kesi mpaya isipokuwa leo, sijui kwa kuwa wako DODOMA?
 
Hata umpe data gani nzuri, hwezi kukuelewa huyu mpenda ubwabwa
 
Kinachotafutwa siyo hicho bali ni kum keep Lema busy na makesi ili ajisikie fresh. Kesi hiyo hata tarehe 20.12.2011 itaahirishwa.

Ndo maana ya kuwa na mwanasheria, kesi zipo zaidi ya sita na wala hazimuweki Lema busy bali wanasheria wake na ndo kazi yao kwa client wao, cha kusikitisha kesi nyingi za Lema ni za kubambikwa so wahusika kwenye dola waliopika kesi hizi wanahaha coz judges na mahakimu husika wameonyesha kufanya kazi yao kwa umakini kwa kuzingatia kesi hizi zinatazamwa na jamii kubwa so they are trying to avoid bias iliyokusudiwa na wapikaji wa kesi hizi za kubambika.
 
Mjinga wewe kama huna la kusema nyamaza!!!!!!!!!!
Kwa kweli leo hapa hata CDM wenzenu wamewakimbia, wamekosa cha kusema! nashangaa thread inayoihusu CDM hata haijafikisha page mbili! Au wote wanaafua magwanda kwa ajili ya maandalizi ya kuingia ikulu kumwona baba mwenye nyumba?
 
Arusha hamna tena Jipya....ndio maana imepita kimya kimya, Umaarufu wa Lema umekwisha! Inabidi aumize kichwa sana kutafuta njia ya kukubalika tena na jamii!
Turudi kwemye current issue ya CDM kwenda kujikomba kwa Rais wa Nchi! CDM imetia aibu!!!!

Ingekuwa imekwisha wewe na gamba lako lilioshia chini ya kiuno usingecomment!
 
Rejao a.k.a mpoki wa ZE COMEDY,Pumba mwanzo mwisho...!!!Idiot
 
Nakuona kama kingungekingunge vile akili imechooooooooooka!! ka nini sijui
 
Mbona hii kimya kimya? kweli CDM bila vurugu na maandamano hakisikiki! Fanyeni basi maandamano ili tusikie uwepo
wewe wenu?

mbona umepata taarifa?ulkw untk uckie kwa mackio ilhali hauko arusha?mbona una taarf ss.kwan kulkuwa na maandamano/vurugu?
 
Huu uandishi upeleke kule facebook...
Nakuona kama kingungekingunge vile akili imechooooooooooka!! ka nini sijui
Una uhakika Kingunge kachoka? ulishawahi kumuona analialia kama vijamaa vya magwanda?

Rejao a.k.a mpoki wa ZE COMEDY,Pumba mwanzo mwisho...!!!Idiot
Karibu Jamiiforums...jisikie nyumbani
Join Date : 22nd November 2011
Posts : 2

Rep Power : 0

Peleka unafiki wako ddm! Period!
Wanafiki ni wale wanaojidai kususa na kutoka nje ya bunge ilhali kesho yake wanaenda kumpigia magoti yule yule waliyesema hawamtambui!!
jipya hamna
Kweli kabisa...magwanda wameishiwa sera! Tukoncentrate tu kwenye uzinduzi wa Albam yetu mpya ya Anti virus
Ingekuwa imekwisha wewe na gamba lako lilioshia chini ya kiuno usingecomment!
Babu mwenye doctorate ya sheria za kanisa yuko wapi? au yupo busy na kichanga chake?
We mbona unakua ka *****ya?Wakiandamana ooh Chadema wanafujo,wasipoandamana unawataka waandamane ,acha PUMBA.
Tatizo wewe bado mdogo sana hapa JF...ukikua utajifunza..karibu lakini!!
mshajivua gamba!...au ndo mmekubali kufa nayoo?
Tunawasubiri kwanza mje kutupigia magoti ndio tuwape conditions...baada ya hapo tutajua what is next
kwani amekwambia anapenda makesi? mwulize ndugu yako rejao kwa nini Lema kila siku akiongea na wananchi anafunguliwa kesi mpaya isipokuwa leo, sijui kwa kuwa wako DODOMA?
Huyu ni among watu walioingia kwenye siasa kwa pupa! Angetafuta kwanza ushauri kutoka kwa wakongwe kama akina Zitto! Atapotea vibaya sana!!
 
CCM haiwezi kufa...Baraza hata likivunjwa, litajengwa tena upya na CCM! Tuna man power ya kutosha tena in excess, huwezi kutucompare na hao 23!!!
Acha mawazo finyu CCM kwani chama cha malaika kama kufa kitakufa tu kama kinafanya blandazi bana.... Ahaaaaaa!
 
Back
Top Bottom