uko arusha na moshi si ndiko nasikia wa,meamka siku nyingi.haya unayosema si ya singida.
Tupo makini sana mkuu,Arusha hawa wezi magamba wamebaki historia..waitisha hata leo waone cha moto.
Arusha ya leo sio ile ya juzi..chadema imechuja kutokana na fujo alizokuwa anaziendesha lema. Watu wameamka
uko arusha na moshi si ndiko nasikia wa,meamka siku nyingi.haya unayosema si ya singida.
Hii ni tetesi au ni uhakika? Mbinu hizo ulizozisema tayari zimeshazoeleka na zilifanikiwa 2010 ambapo wahombea wengi wa CDM walikuwa bado wapo kizani. Nadhani kwa Arusha vijana wapo wengi ambao wanasubiri nafasi kama hizo hivyo sidhani mbinu kama hizo chafu zinaweza kushinda.
Cc Mungi, Nanyaro Ephata, yegella,
Tupo makini sana mkuu,Arusha hawa wezi magamba wamebaki historia..waitisha hata leo waone cha moto.
Tatizo lenu CHADEMA ni kuPanic. Lakini siwezi kukushangaa kwavile hata Dr. Slaa huwa anaPanic sana hadi hufikia kipindi mate yanaanza kumtoka mdomoni.
jina lako lenyewe lajieleza kuwa wewe na Mwigulu mnafadhili vikundi vya kigaidi..KINANA mwenyewe anatoka Arusha ila akipita hapa hakuna anaempapatikia.
Dalili za kushindwa ni kuweweseka kama hivi
cdm arusha hawaweweseki ccm ndo wanachanganyikiwa.....