Chadema anzisheni kitengo cha propaganda | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chadema anzisheni kitengo cha propaganda

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by ibange, Feb 11, 2011.

 1. i

  ibange JF-Expert Member

  #1
  Feb 11, 2011
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 1,545
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  kitengo cha propaganda ni muhimu kwa chadema ikizingatiwa ccm wanatumia sana kitengo chao. chadema itafute vijana wasomi wenye uwezo wa kujieleza ili wawafunike akina tambwe. pia kwa vile ruzuku ipo ajiri vijana wasomi kuwe na kitengo cha ku think. kazi yao iwe wana think, wanakuwa political analyst, wanatoa taarifa zenye utafiti na kuwafundisha wabunge wetu namna ya ku argue .
   
 2. mshikachuma

  mshikachuma JF-Expert Member

  #2
  Feb 11, 2011
  Joined: Dec 2, 2010
  Messages: 2,853
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Naona kama inasensi kwambaaaali
   
 3. N

  Nancy Tweed Senior Member

  #3
  Feb 12, 2011
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 123
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kwani hii JF unavyofikiria wewe ni nini? au ulitakaa iitwe jamii ya propaganda ya chadema?
   
 4. Askari Kanzu

  Askari Kanzu JF-Expert Member

  #4
  Feb 12, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,526
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  JF ni discussion forum na siyo kitengo cha propaganda. Kuna tofauti kubwa kati ya vitu hivi viwili! Ibange ana point.
   
Loading...