vichaa wasioitakia mema nchi hii ndio hushabikia chadema,hongereni kwa kulitambua hilo mimi kitambo sana
Akiki yako sawa ya kikwete rais wa wachofu wa tz, shame upon you. Chadeama haitaanguka milele.
Ccm na ujangili wao mwisho utashuhudia live
kweli nimeamini,hata waliopo kanda ya ziwa ni walewale....acha warushe matuasi lakin ukweli ni laizma usemwe ili kuwe na mabadiliko,tatizo la wenzangu ukigusia chadema unaitwa puppet wa ccm...kwahyo mnataka chadema tuisifu tu? Hata wanapofanya isivyo sisi tusifu tu? Hapana kwakweli acheni hivyo,muda mwingine na sisi tujikosoe ili tubadilike zaidi
Mwanaume unanyweshwa pombe za bure mpaka unalewa mchana wote huu..
Hata namna yako ya kuandika inadhihirisha unaandika kitu usichokijua au umeamua kutunga uongo. Weka facts unazofikiri unazo, kisha utajibiwa kwa hoja ili upate ukweli.
Vinginevyo usitunge maneno.
wajinga wakubwa,mnataka tusiiongelee chadema kwa misingi ipi? After all mnaozungumza hampo maeneo haya,mnataka tusiseme ujinga unaofanyika ndani ya chadema? Huu ni ujinga na upuuzi,kwahyo issue ya kujadili ni ya ccm tu,chadema tusiseme? Stupid mind
Wape mkuu. Ukiikosoa cdm wanakuita mccm. Haya madudu ya cdm lazima yasemwe.
Halafu angalia utaliwa kiboga na hao wanaokunywesha.......Hakunaga cha bure haba duniani...Niangalizo tuu nakupa..
chama cha kigaidi. lazima kitakufa 2014
Cdm bye bye.
Kumekuwa na kanda mbalimbali za cCHADEMA,hali ni tofauti sana kanda ya ziwa maahariki ambayo kinyume na utaratibu ina viongozi kutoka mikoa tofauti na kanda hii,kwa mpango huu wa CHADEMA itakuwa ngumu kuwang'oa akina cheyo,chenge,masele,maige,mpina,nyangwine na wengineo,nashangaa chama kilitangaza nafasi za vijana wazibe nafasi za uongozi wa M4C cha ajabu hakuna kilichofanyika,walijipachika kama kawaida yao--
Wape mkuu. Ukiikosoa cdm wanakuita mccm. Haya madudu ya cdm lazima yasemwe.
Pole sana kwa kujitia moyo!
MASELE naye ALISHINDA UBUNGE kweli!?
Shinyanga Mjini???
Acha upuuzi wewe!
kwa namna hii ya kutulazimisha kusifu chadema hata kama wanafanya madudu basi mimi nitakihama chama hiki!
Umekuwa kama msukule wa mchana.....Unatokwa na povu mpaka nakuonea huruma..