CHADEMA acheni usharobaro

akili rojorojo ,hahaaaah shule za kata ndio matokeo yake, mtu hawezi hata kujieleza kwa mstari mmoja.
 
Ww **** wa CCM kutoka ktk bunge co jambo geni coz hata USA na UK wanatoka kwenye baraza kuu la kimataifa akipanda HUGO CHAVEZ AHMEDNAJAN, MUGABE, GADAFI ww unafikiri kwa nn?
 
Thread kama hii,kampelekee kunduyo na basha wako.Mawazo yako utumbo mtupu,nyambafuuuuu.
 
Mhe. Umebobea kwenye chambuzi, inafaa uwe msaidizi wa Tambwe. Kwa watu kama wewe maisha bora kwa kila mtz ni ndoto , mtaishia kupongeza hotuba ya JK bila kujua kinachoendelea kwa walalahoi, naamini hata Dowans ikilipwa mtakuwa mnaamka bungeni na kuipongeza serikali kwa kufanya uungwana wa kulipa ....,
 
Watu wengine bwana! Kila siku unalala gizani , kila kona vijenereta vinatoa hewa chafu, Unaogea maji Ya Kisima alafu umekaa kuleta story za udini na ukabila mara uroho wa madaraka hao unaowatetea ndo bomba la ruvu limepita kwako kimara wao wanamwagilia bustani zao huku
masaki wewe unaogea maji ya kisima. Amka chukua hatua sasa!
 
umetumwa???


:A S crown-1: Umekuwa Mfalme?? Hayo ni mawazo ya mtu vyema kuvumiliana. Kwa chama kikubwa kama CDM jambo la kutoka nje sio sahihi. Imekuwa tabia yao. Tumewatuma kusimamia Serikali na Kutunga sheria na si kuonyeshana mbwembwe.
 
Thread kama hii,kampelekee kunduyo na basha wako.Mawazo yako utumbo mtupu,nyambafuuuuu.

Wimbo wako mzuri, njoo nikununulie vyombo vya muziki uanzishe bendi ya kuniburudisha nyumbani kwangu na mshahara nitakulipa uutakao
 
Kumbe hii ndo difinisheni mpya ya usharobalo..:A S thumbs_down::A S thumbs_down::A S thumbs_down:
 
Maisha magumu unayafanya mwenyewe, kwani watakiwa kufanya kazi kwa bidii sio kutegemea vitu vya bure bure kwenye ilani ya CHADEMA, na wewe yaonekana unapenda vitu vya bure utao**wa shauri yako

Kama kuna watu wanapenda vitu vya bure basi ni CCM, ndio maana wanang'ang'ania hapo maana wanajua kabisa kwamba wakitoka hapo watalala na njaa maana hawajawahi kufanya kazi kwa bidii na wala hilo hawalitambui, hata nyie mnaoshabikia hiyo CCM ndio zaidi kwa kupenda bure maana unajua mkuu fulani akikuona unatoa pumba zako za kusifia chama anakuhonga vihela au kacheo ambako hata huqualify...
 
Thinktwice go and think twice.inaonesha kuwa huna jipya na unatumika,hatuwezi kukubali kanuni kubadilishwa kwa maslahi ya wachache tukakaa kimya,chadema wanapinga ubadilishwaji wa kanuni za kudumu za bunge,ambao ndio wajibu wa kwanza wa mbunge,wewe kwa upumbavu wako unaongea pumba,nonesense
 
Mwambie msajili wa vyama vya siasa.
 

na huu umalaya wa kisiasa wa CUF unauitaje?CUF+CCM zanzibar=
CUF +CCM Bara bungeni=
CUF+TLP=
CUF+NCCR=
CUF+UDP+
bado CUF inataka pia na CHADEMA???
 
ACHENI WAJINGA WASEME UJINGA WAO ILI TUWAJUE NA SIKU TUKIONA HOJA ZAO NYINGINE TUJUE UWEZO WAO UKO WAPI,WAACHENI WASEME SI KAMA MAKAMBA TUU,ANASEMA SANA SISI TUNAPIMA ,TUNAPIGA BAO,TUNASONGA

waacheni wapuuzi waseme ili tuwajue wote
 
Hilo ni neno safi na zuri la kiswahili linalofaa kutumika kwa CDM, tafuta maana yake

Naomba unielekeze kamusi linakopatikana plz! Manake unaleta uhuni hata kwe mambo ya msingi.
 
Mkuu, watu wapo makini wewe unaleta upuuzi katika maswala ya msingi. Kama usharobalo ndio hivyo basi waache CDM wawe masharobaro maana usharobalo huo ndio unaotakiwa.
 
nadhani utakua ni kibonde wa clouds,maana naye anamawazo mgando sana/
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…