GeniusBrain
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 4,315
- 309
Sishangai watu kama wewe,ipo siku watanzania wataamka na kuwatambua wapenda madaraka na walaghai wa kisiasa,mmeinunua cuf znz sasa hivi mnaitumia kuvuruga upinzani bara,siku zenu zinahesabikaCHADEMA wamedhihirisha ya kwamba wao ni :
1. Waroho wa madaraka
2.Hawako kwa ajili ya maslahi ya Taifa bali ya binafsi zaidi
3. Kutokuwa na maamuzi sahihi, kwa maana hiyo basi utoto unawasumbua
4. Kuweka udini na ukabila mbele kuliko maslahi ya taifa
5. Kutowatendea haki wananchi walio wachagua, kwa kutowawakilisha bungeni ipasavyo
6. Kutofanya kazi zao kwa weledi na kufuata mkumbo na maneno ya vijiweni
Kwa usharobaro huu CDM si chama cha siasa ni kikundi cha wajanja wachache wenye maslahi yao binafsi
CHADEMA wamedhihirisha ya kwamba wao ni :

hapa inaonesha ni jinsi gani ulivyo na mambo ya kiswahili hata katika hoja za misingi, nomba maana ya hilo neno hapo
Watu kama nyie ndiyo mnaofanya maisha ya watanzania yawe magumu sana.. Sasa wewe endeleo ila iko siku utapata akili na kujua kuwa chadema ndiyo mkombozi wako.
hapo red: sisi tuliokosa wabunge wa CDM majimboni mwetu inatuuma manake hatushiriki kibunge kuikomboa nchi. WABUNGE WA CDM WANAWAWAKILISHA MASIKINI/LALAHOI KWA UJUMLA. wa CCM+CUF wanawawakilisha mafisadi na wahujumu uchumi kama weweCHADEMA wamedhihirisha ya kwamba wao ni :
1. Waroho wa madaraka
2.Hawako kwa ajili ya maslahi ya Taifa bali ya binafsi zaidi
3. Kutokuwa na maamuzi sahihi, kwa maana hiyo basi utoto unawasumbua
4. Kuweka udini na ukabila mbele kuliko maslahi ya taifa
5. Kutowatendea haki wananchi walio wachagua, kwa kutowawakilisha bungeni ipasavyo
6. Kutofanya kazi zao kwa weledi na kufuata mkumbo na maneno ya vijiweni
Kwa usharobaro huu CDM si chama cha siasa ni kikundi cha wajanja wachache wenye maslahi yao binafsi
yani weee ndo sufuria kabisaaaa! kwa mfano mrema eliatonga awe m/kiti wa kamati ya hesabu za serikali unategemea nini? na sisiemu wanataka hao ndo wakamate hvo vyeo ili waendelee kula nchi na kuna siri kubwa iko huko so wanaofia pipoozi pawa kuingia huko kwani watafichua uozo wao!!! unaweza danganya mtu au watu kwa cku kazaa tuuu ila hutoweza danganya cku zote!!! in GOD we trust
hapo red: sisi tuliokosa wabunge wa CDM majimboni mwetu inatuuma manake hatushiriki kibunge kuikomboa nchi. WABUNGE WA CDM WANAWAWAKILISHA MASIKINI/LALAHOI KWA UJUMLA. wa CCM+CUF wanawawakilisha mafisadi na wahujumu uchumi kama wewe
CHADEMA wamedhihirisha ya kwamba wao ni :
1. Waroho wa madaraka
2.Hawako kwa ajili ya maslahi ya Taifa bali ya binafsi zaidi
3. Kutokuwa na maamuzi sahihi, kwa maana hiyo basi utoto unawasumbua
4. Kuweka udini na ukabila mbele kuliko maslahi ya taifa
5. Kutowatendea haki wananchi walio wachagua, kwa kutowawakilisha bungeni ipasavyo
6. Kutofanya kazi zao kwa weledi na kufuata mkumbo na maneno ya vijiweni
Kwa usharobaro huu CDM si chama cha siasa ni kikundi cha wajanja wachache wenye maslahi yao binafsi
Watu kama nyie ndiyo mnaofanya maisha ya watanzania yawe magumu sana.. Sasa wewe endeleo ila iko siku utapata akili na kujua kuwa chadema ndiyo mkombozi wako.
CHADEMA wamedhihirisha ya kwamba wao ni :
1. Waroho wa madaraka
2.Hawako kwa ajili ya maslahi ya Taifa bali ya binafsi zaidi
3. Kutokuwa na maamuzi sahihi, kwa maana hiyo basi utoto unawasumbua
4. Kuweka udini na ukabila mbele kuliko maslahi ya taifa
5. Kutowatendea haki wananchi walio wachagua, kwa kutowawakilisha bungeni ipasavyo
6. Kutofanya kazi zao kwa weledi na kufuata mkumbo na maneno ya vijiweni
Kwa usharobaro huu CDM si chama cha siasa ni kikundi cha wajanja wachache wenye maslahi yao binafsi
CHADEMA wamedhihirisha ya kwamba wao ni :
1. Waroho wa madaraka
2.Hawako kwa ajili ya maslahi ya Taifa bali ya binafsi zaidi
3. Kutokuwa na maamuzi sahihi, kwa maana hiyo basi utoto unawasumbua
4. Kuweka udini na ukabila mbele kuliko maslahi ya taifa
5. Kutowatendea haki wananchi walio wachagua, kwa kutowawakilisha bungeni ipasavyo
6. Kutofanya kazi zao kwa weledi na kufuata mkumbo na maneno ya vijiweni
Kwa usharobaro huu CDM si chama cha siasa ni kikundi cha wajanja wachache wenye maslahi yao binafsi
hivi hapo nani mroho wa madaraka kati ya cdm na cuf...kwann cuf walazimishe wawemo katika kambi?