CHADEMA acheni siasa za Matukio Tafuteni Agenda

Benson Mramba

JF-Expert Member
Oct 29, 2013
644
1,482
Kwa miaka ya karibuni tangu baada ya uchaguzi Mkuu 2015 CHADEMA imekosa think tank . Wamebakia na siasa za matukio na uzushi wa mitandaoni.

Viongozi kutwa wako kwenye smart phone kusoma yanayojiri mtandaoni baada ya hapo wanajibu as if ndio agenda za Chama chao.

Shida wenye madaraka makubwa sasa ndani ya CHADEMA wana elimu ndogo, exposure ndogo na ni wavivu wa kusoma na kufanya tafiti. Lissu anawaita Group of Boys

Sio kila Tukio lazima liwe Agenda kwenu mtakuja kuumbuka siku sio nyingi. Lema amefunga safari Arusha hadi Dar kuja kuzungumzia MO kutekwa baada ya kusikia kuna Bilioni 1.

Msipokuwa agenda za maana mtadharaulika.
 
Haya kachukue buku 7 yako chap
 
Na wewe achana kabisa na Chadema wafanyie kazi mabwana zako hapo Lumumba achana na sisi kabisa , wacha umalaya wa kisiasa.
 
Kwa miaka ya karibuni tangu baada ya uchaguzi Mkuu 2015 CHADEMA imekosa think tank . Wamebakia na siasa za matukio na uzushi wa mitandaoni.

Viongozi kutwa wako kwenye smart phone kusoma yanayojiri mtandaoni baada ya hapo wanajibu as if ndio agenda za Chama chao.

Shida wenye madaraka makubwa sasa ndani ya CHADEMA wana elimu ndogo, exposure ndogo na ni wavivu wa kusoma na kufanya tafiti. Lissu anawaita Group of Boys

Sio kila Tukio lazima liwe Agenda kwenu mtakuja kuumbuka siku sio nyingi. Lema amefunga safari Arusha hadi Dar kuja kuzungumzia MO kutekwa baada ya kusikia kuna Bilioni 1.

Msipokuwa agenda za maana mtadharaulika.
Mbona macho yamekaa kikuda kuda
 
Kuna hoja nyingi tu za maana mitandaoni mpaka zimemfanya Spika Ndugai kuwataka wabunge wa ccm nao watumie mitandao kuzijibu. Wewe unaita uzushi wa mitandaoni!

Na kuhusu Ajenda zipo ila uhuru wa mikutano ya kisiasa kwa wapinzani HAKUNA!
 
Wewe kila siku chadema chadema,huna issue za kufanya
 
Kuna hoja nyingi tu za maana mitandaoni mpaka zimemfanya Spika Ndugai kuwataka wabunge wa ccm nao watumie mitandao kuzijibu. Wewe unaita uzushi wa mitandaoni!

Na kuhusu Ajenda zipo ila uhuru wa mikutano ya kisiasa kwa wapinzani HAKUNA!
Agenda hazihitaji mikutano. Mbona MATUKIO mnayazungumzia bila shida
 
Kwa miaka ya karibuni tangu baada ya uchaguzi Mkuu 2015 CHADEMA imekosa think tank . Wamebakia na siasa za matukio na uzushi wa mitandaoni.

Viongozi kutwa wako kwenye smart phone kusoma yanayojiri mtandaoni baada ya hapo wanajibu as if ndio agenda za Chama chao.

Shida wenye madaraka makubwa sasa ndani ya CHADEMA wana elimu ndogo, exposure ndogo na ni wavivu wa kusoma na kufanya tafiti. Lissu anawaita Group of Boys

Sio kila Tukio lazima liwe Agenda kwenu mtakuja kuumbuka siku sio nyingi. Lema amefunga safari Arusha hadi Dar kuja kuzungumzia MO kutekwa baada ya kusikia kuna Bilioni 1.

Msipokuwa agenda za maana mtadharaulika.
Mkuu wa kukosa ajenda sindo faida kwenu ccm. Sasa kinakuuma nini tena mkuu?
 
Back
Top Bottom