Hizo ni kelele za mfa maji. Angalia hata magazeti yaliyomnukuu!Aliekuwa diwani Wa Chadema kata ya Kimandolu ms naibu Meya Estomi Malla amesema kuwa Chadema iache kuwadanganya wakazi wa jiji la Arusha kwamba watafanikiwa kumwondoa Meya wa jiji la Arusha bwana Gaudensi Limo.
Souce:Mtanzania/Habari Leo/Uhuru.
Ni nini anachopima huyu msaliti Wa Chama?,ni nani anaemtuma kusema maneno haya?Kama alishaondolewa kwenye Chama kwa nini aendelee kuwa naibu Meya?Au ndio Tanzania ilivyo?
Aliekuwa diwani Wa Chadema kata ya Kimandolu ms naibu Meya Estomi Malla amesema kuwa Chadema iache kuwadanganya wakazi wa jiji la Arusha kwamba watafanikiwa kumwondoa Meya wa jiji la Arusha bwana Gaudensi Limo.

Hayo ni kweli kabisa chadema hawawezi kumtoa huyu meya wa arusha kwani alichaguliwa kihalali kabisa. Na ndio maana mpaka leo cdm wakiambiwa km mnapinga uchaguzi wake nendeni mahakamani hawaendi, kwani wanajua wataenda kuumbuliwa

Hebu wewe sema ukweli wako!!!
Wajua uchaguzi halali wewe au unaongelea ushabiki humu?
Siku walipo mchagua G.Limo kuwa Mayor wa hilo Jiji la Arusha niambia hicho kikao CDM waliitwa au walipewa barua fake za kukutana huko Olasite na wao CCM wakaendeleza kikao chao cha kumchagua Mayor huku diwani wa TLP nae alishiriki kwenye hicho kikao na baadae akaukataa Unaibu Mayor yet unatuambia Uchaguzi wa Mayor Arusha ulikuwa Haklali kivipi???
Hebu nawe tupe yako uliyoshiliki siku hiyo ya kumchagua Mayor nasi tuku chambue kama unakumbuka kilicho tokea sisi tuliona matukio yalivyo recodiwa kwenye Runinga na tukashangaa kwanini kulikuwa na vikao viwili tofauti siku hiyo ya uchaguzi wa mayor na ndipo hapo CDM walipo pata fununu wakaenda Halmashauri na kukatokea mshike mshike na mabomu ya machozi kurushwa sasa ulikuwa ni uchaguzi gani halali siku hiyo kama madiwani wengine hawakuitwa kupiga kura??