CHADEMA acheni kuwadanganya wana wa Arusha - Estomi Malla

Huyu bwana Malla mkitaka kuujua undani wake basi kwa wale wakazi nnje ya jii la Arusha njooni pale maeneo ya baa moja inajulikana kwa jina la HOUSE OF WINE! baa hii iko katikati ya jiji hili ndipo huwa anapendelea kunywa bia nyakati za jioni, halafu pia huwa anawekewaga chakula cha mbwa wake kwakutoa odder never miss hii sehemu, wewe njoo halafu umsikilze Crap anazoongea akishalewa kwakuwadanganya watu huyo ndio Malla na hata yule msaliti mwingine Rasta alikua anahuzuria sana hapa lakini yeye huwa anaaibu sana kahama kunywa kwenye baa hii.
 
Hebu wewe sema ukweli wako!!!

Wajua uchaguzi halali wewe au unaongelea ushabiki humu?

Siku walipo mchagua G.Limo kuwa Mayor wa hilo Jiji la Arusha niambia hicho kikao CDM waliitwa au walipewa barua fake za kukutana huko Olasite na wao CCM wakaendeleza kikao chao cha kumchagua Mayor huku diwani wa TLP nae alishiriki kwenye hicho kikao na baadae akaukataa Unaibu Mayor yet unatuambia Uchaguzi wa Mayor Arusha ulikuwa Haklali kivipi???

Hebu nawe tupe yako uliyoshiliki siku hiyo ya kumchagua Mayor nasi tuku chambue kama unakumbuka kilicho tokea sisi tuliona matukio yalivyo recodiwa kwenye Runinga na tukashangaa kwanini kulikuwa na vikao viwili tofauti siku hiyo ya uchaguzi wa mayor na ndipo hapo CDM walipo pata fununu wakaenda Halmashauri na kukatokea mshike mshike na mabomu ya machozi kurushwa sasa ulikuwa ni uchaguzi gani halali siku hiyo kama madiwani wengine hawakuitwa kupiga kura??

Nyie mliitwa kikaoni mkakataa kwa kutii amri za ma boss wenu, wenzenu wakaendelea na kikao km kawa. Sasa km hayo yote mnayosema ni ya kweli na ushahidi huo wa barua mnasema mnazo kwa nn hamwendi mahakamani mpaka leo?. Uchaguzi wa igunga juzi tu mmesema mwaenda mahakamani, mbona suala la arusha hamuendi karibu mwaka sasa. Hapo yaonyesha hamna hoja. Kila siku mnataja siku tu sijui siku 21, sijui mwezi , nchi imetulia na inatawalika.
 
Mkuu umetumia sana nguvu nyingi kumuelewesha huyu(GeniusBrain)ni mbishi na ametumwa kuja kuchafua huku jamiiforum,ukimuonesha gari atabisha na kusema hii treni na ogopa sn mtu anaekikataa hata kimvuli chake

CDM kwa propaganda tunawajua sana nendeni mahakamni kama msemayo ni kweli
 
Mahakama za Tanzania hazitoi haki sawa,fisadi akimwaga pesa ataonekana Kama malaika na masikini hana chake juu ya tajiri vivyo hivyo Kama Serikali ikiingilia kati juu ya uhalali Wa Meya Wa Arusha haitashindwa kbs sana itatoa maagizo tu na yatatekelezwa.

Kweli CDM vichwa vyenu vina maji badala ya ubongo, Igunga mbona mnakimbilia mahakamani km chombo hicho hakitoi haki ? acheni kuwa wanafiki mnajiabisha sana ndugu zetu
 
Nadhani jamaa anatafuta attention so kwa mwendo huu just place him on ignoring list kama Mukama,Nape na wengineo wa upande huu .Msilete habari zake hapa .Hatuna muda wa kumjadili .Sasa mnajadili nini kwa tamko hilo sijui kasemea wapi .
 
So JF = CHADEMA ? wengine hawaruhusiwi kwa vile CDM wana haki miliki ya JF
 
Wana jamvi hata msisumbuke chanzo chenyewe cha habari hii,, magazeti yaliyotajwa hakuna kitu! besides the man has gone hana lake jipya tamaa zake/zao zimemponza
 
Huyu bwana Malla mkitaka kuujua undani wake basi kwa wale wakazi nnje ya jii la Arusha njooni pale maeneo ya baa moja inajulikana kwa jina la HOUSE OF WINE! baa hii iko katikati ya jiji hili ndipo huwa anapendelea kunywa bia nyakati za jioni, halafu pia huwa anawekewaga chakula cha mbwa wake kwakutoa odder never miss hii sehemu, wewe njoo halafu umsikilze Crap anazoongea akishalewa kwakuwadanganya watu huyo ndio Malla na hata yule msaliti mwingine Rasta alikua anahuzuria sana hapa lakini yeye huwa anaaibu sana kahama kunywa kwenye baa hii.
Ha! Ha! Ha! Ha!..Magwanda bana
 
Kweli CDM vichwa vyenu vina maji badala ya ubongo, Igunga mbona mnakimbilia mahakamani km chombo hicho hakitoi haki ? acheni kuwa wanafiki mnajiabisha sana ndugu zetu

Mtu anapofikia hatua ya kumtukana mwenzie(Kama wewe ulivyofanya hapa)inabidi tukuhurumie,inawezekana akili yako imefika kikomo cha kufikiri na nikiendelea kukujibu nnaona nntafanana na wewe.
 
Nyie mliitwa kikaoni mkakataa kwa kutii amri za ma boss wenu, wenzenu wakaendelea na kikao km kawa. Sasa km hayo yote mnayosema ni ya kweli na ushahidi huo wa barua mnasema mnazo kwa nn hamwendi mahakamani mpaka leo?. Uchaguzi wa igunga juzi tu mmesema mwaenda mahakamani, mbona suala la arusha hamuendi karibu mwaka sasa. Hapo yaonyesha hamna hoja. Kila siku mnataja siku tu sijui siku 21, sijui mwezi , nchi imetulia na inatawalika.

Wajua mkuu sikiliza barua walizo toa ni za kwenda kikao cha huko Mbauda kunaitwa olasite kama sijakosea the same day hao walio toa hizo barua ni mkurugenzi aliehusika na kikao cha kumchagua Mayor kumbe huku nyuma wakatoa barua zingine kwa wana CCM kwa ajili ya uchaguzi hapo wewe unasema ni uchaguzi halali huo au? Kulitokea mkanganyiko sana wa uchaguzi wa Mayor kwanini hawakuamua kuweka wazi kama walikuwa wanajiamini kuwa madiwani wa CCM ni wengi ndio hayo ya Igunga CCM mumeshusha vigogo wenu wote na nguvu ya pesa kubwa kama mlikuwa na uhakika wa hilo jimbo ilikuwaje mtumie pesa nyingi kupita upinzani na ndio maana Tendwa kawwambi CCM imeshuka sana na ndio kiama hicho chaja hampeni kuona ukweli uwe ukweli bali mtalazimisha kulazimisha uongo wenu kuwa ukweli lakini wananchi wanajua fika wamekichoka CCM na wanataka mageuzi sasa. Karibu CDM mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom