CHADEMA acheni kutuma mamluki kwenye mikutano ya CCM

Lazima utakuwa ----- kufikiria wanaosikiliza mikutano wote ni lazima wawe wa Chama chako acha hata wengine wasikilize ili wavutiwe na sera zako. Huo ndio ustarabu
 
CCM wanawatumia hadi usalama wa taifa kama mamluki kwa CDM.
 
kama mpo safi na mnayofanya ni sahihi mnaogopa nini?

Halafu kwenye mkutano wa hadhara kuna nini cha siri hadi hamjiamini

ACHENI WOGA JIAMINI
 
Wanajamvi, wakati tukiwa kwenye kikao chetu cha chama cha ccm tuliwabaini kuwa tuna mamluki wanachota habari zetu na kuwapelekea viongozi wao wa CHADEMA,tukiwa maeneo ya edaru katika mkutano wa wananchi pembeni kwa mbali kidogo kuna kijana alikuwa na simu ya I-PHONE akitupiga picha na tulipowatuma vijana wetu wa green guard kumfuatilia tukagundua kwamba ni kada wa chadema na pia ni mwalimu wa secondari na ametumwa na kiongozi wa cdm,adhabu yake tulimweleza afute picha zote kwenye simu yake na kuondoka eneo hilo mara moja. Natoa rai kwa sio ukomavu wa demokrasi kutuma mamluki kwenye chama chotechote ni uoga wa kusindwa kisera.hii pia ni salamu kwa crashwise jana alikiri kwamba alituma mamluki kwenye kikao cha vijana wa meru kuchota taarifa mosi sijajua faida za kutuma mamluki kwenye chama fulani.ACHENI TABIA HII MBAYA

mamluki wapo kila mahali hata mwampambe na juliana walikuwa majasusi chichiemu.
 
unajua maana ya vikao vya ndani vya chama

Inategemea ni chama gani,kwa Ccm ni wizi au kung'oana meno na kucha au ikibidi kumtoa roho mnaye dhania anatishia ugari wenu,hamna kingine kwani kama yangekuwa maendeleo ya nchi tungeyaona kwa miaka 50 iliyopita
 
Wanajamvi, wakati tukiwa kwenye kikao chetu cha chama cha ccm tuliwabaini kuwa tuna mamluki wanachota habari zetu na kuwapelekea viongozi wao wa CHADEMA,tukiwa maeneo ya edaru katika mkutano wa wananchi pembeni kwa mbali kidogo kuna kijana alikuwa na simu ya I-PHONE akitupiga picha na tulipowatuma vijana wetu wa green guard kumfuatilia tukagundua kwamba ni kada wa chadema na pia ni mwalimu wa secondari na ametumwa na kiongozi wa cdm,adhabu yake tulimweleza afute picha zote kwenye simu yake na kuondoka eneo hilo mara moja. Natoa rai kwa sio ukomavu wa demokrasi kutuma mamluki kwenye chama chotechote ni uoga wa kusindwa kisera.hii pia ni salamu kwa crashwise jana alikiri kwamba alituma mamluki kwenye kikao cha vijana wa meru kuchota taarifa mosi sijajua faida za kutuma mamluki kwenye chama fulani.ACHENI TABIA HII MBAYA

Mzee wa Mtura kumbe huko pande hiyo? Mi nilidhani unajipambanua kuwa huna itikadi sasa napata picha ya harakati za meru.
 
CCM mumekuwa mdebwedo kiasi hiki hata picha hamtaki mpigwe.Mnakoelekea mtaanza kukimbia hata vivuli vyenu wenyewe.
 
Chama cha majambaz hiko, nahic walikuwa wanapitisha meno ya tembo xo hawakuta mtu awapige pic,
Yaan akili za maccm pamoja na rais wao ni kama manyumbu tu
 
Msalimie mkuu wa kambi yako, mzee mamvi!
Wanajamvi, wakati tukiwa kwenye kikao chetu cha chama cha ccm tuliwabaini kuwa tuna mamluki wanachota habari zetu na kuwapelekea viongozi wao wa CHADEMA,tukiwa maeneo ya edaru katika mkutano wa wananchi pembeni kwa mbali kidogo kuna kijana alikuwa na simu ya I-PHONE akitupiga picha na tulipowatuma vijana wetu wa green guard kumfuatilia tukagundua kwamba ni kada wa chadema na pia ni mwalimu wa secondari na ametumwa na kiongozi wa cdm,adhabu yake tulimweleza afute picha zote kwenye simu yake na kuondoka eneo hilo mara moja. Natoa rai kwa sio ukomavu wa demokrasi kutuma mamluki kwenye chama chotechote ni uoga wa kusindwa kisera.hii pia ni salamu kwa crashwise jana alikiri kwamba alituma mamluki kwenye kikao cha vijana wa meru kuchota taarifa mosi sijajua faida za kutuma mamluki kwenye chama fulani.ACHENI TABIA HII MBAYA
 
Wanajamvi, wakati tukiwa kwenye kikao chetu cha chama cha ccm tuliwabaini kuwa tuna mamluki wanachota habari zetu na kuwapelekea viongozi wao wa CHADEMA,tukiwa maeneo ya edaru katika mkutano wa wananchi pembeni kwa mbali kidogo kuna kijana alikuwa na simu ya I-PHONE akitupiga picha na tulipowatuma vijana wetu wa green guard kumfuatilia tukagundua kwamba ni kada wa chadema na pia ni mwalimu wa secondari na ametumwa na kiongozi wa cdm,adhabu yake tulimweleza afute picha zote kwenye simu yake na kuondoka eneo hilo mara moja. Natoa rai kwa sio ukomavu wa demokrasi kutuma mamluki kwenye chama chotechote ni uoga wa kusindwa kisera.hii pia ni salamu kwa crashwise jana alikiri kwamba alituma mamluki kwenye kikao cha vijana wa meru kuchota taarifa mosi sijajua faida za kutuma mamluki kwenye chama fulani.ACHENI TABIA HII MBAYA
Ukiona mgonjwa anaanza kurusha mikono na miguu hewani, ujue muda wake wa kurejea kwa Muumba umekaribia. Hawa CHADEMA ndio wako katika hatua hiyo ya kurusha mikono na miguu hewani na baada ya muda mfupi tu wataaga dunia.
 
Back
Top Bottom