prince03
Member
- Sep 22, 2016
- 23
- 5
Ukiguswa kidonda lazima upige kelele na naendelea kukazia hilo ndo uliloliona peke yake mkuu...au umetunwa na watoto wa lumumba.WEWE NDIYO MPIGA POROJO WA CHADEMA?
Ukiguswa kidonda lazima upige kelele na naendelea kukazia hilo ndo uliloliona peke yake mkuu...au umetunwa na watoto wa lumumba.WEWE NDIYO MPIGA POROJO WA CHADEMA?
Na nyie mbona kutwa kucha mnasema mambo ya Chadema? Malizeni ishu ya kugawana hela ya rambi rambi.Chadema wameishiwa hoja wanadandia mambo ya watu tu kazi yao porojo na majungu ndiyo walichobakiza kwao.