CHADEMA acheni kuhoji kuhusu Prof. Lipumba

Yaani Lipumba aitaje Chadema, Chadema wakimtaja nongwa, kweli ninyi mmmmmmmm
 
Chadema haina muda mchafu kumzungumzia huyo zwazwa, yeye ndiye alianza kutoa tuhuma nyingi dhidi ya Chadema na alijibiwa Mara moja tu, yeye ndiye kila siku neno Chadema, Mbowe na Lowasa halikauki mdomoni kwake. Sisi tunampotezea tu kwani ukijibishana na chizi utaonekana chizi.
 
Ukitaka kutafuta nyoka anzia mguuni mwako, ilitakiwa CHADEMA kuanza kuhoji kuhusu KATIBU WAO MKUU DR. SLAA kwanini alikimbia wakati wa uchanguzi? halafu ndiyo waende kwa jirani.

Sasa umesikia Dr. Slaa anataka kurudi Chadema kwa njia ya panya? We wa wapi wewe?
 
Ukitaka kutafuta nyoka anzia mguuni mwako, ilitakiwa CHADEMA kuanza kuhoji kuhusu KATIBU WAO MKUU DR. SLAA kwanini alikimbia wakati wa uchanguzi? halafu ndiyo waende kwa jirani.

Yaani unajaribu kumlinganisha Mzee Dr Slaa na Prof. Lipunba?

Dr Slaa ni mzee wa principle. Alisema anaondoka na akaondoka kweli na hajawaza kurudi ktk siasa tena tena kwa mtindo wa vurugu za kipuuzi na za kijinga kama Prof Lipumba afanyavyo!!

Nakushauri waache CHADEMA waendelee kumheshimu na kumuenzi katibu wao mkuu kwa heshima. Hana tatizo yule, aliondoka kwa hiari yake na aachwe amalizie uzee wake huko aliko kwa amani na furaha.

Kwa maoni yako wahoji kuhusu nini sasa kuhusu Dr Slas? Kwa sbb he's not and he will never come back!!

Lipumba hata sisi tusio na vyama tunahoji na tutahoji kwa sbb anaonekana ni kielelezo cha wasomi wajinga, wasio na misimamo ktk maisha yao. Wanaonekana kuwa walienda shule kusomea ujinga na si kuelemika!!
 
Soma vizuri hakuna sehemu nilipo walinganisha hao viongozi wawili,

leo ndiyo mnagundua kwamba yule mzee wa principle, wakati kipindi anaondoka CHADEMA hakuna jina, neno au kauli mbaya yenye kuhudhi mliacha kumwita DR. SLAA.
 
Chadema haina muda mchafu kumzungumzia huyo zwazwa, yeye ndiye alianza kutoa tuhuma nyingi dhidi ya Chadema na alijibiwa Mara moja tu, yeye ndiye kila siku neno Chadema, Mbowe na Lowasa halikauki mdomoni kwake. Sisi tunampotezea tu kwani ukijibishana na chizi utaonekana chizi.
viroba kupigwa marufuku
 
Wewe Ditopile pili yaelekea waipenda chadema sana maana umeitaja sana
 
Soma vizuri hakuna sehemu nilipo walinganisha hao viongozi wawili,

leo ndiyo mnagundua kwamba yule mzee wa principle, wakati kipindi anaondoka CHADEMA hakuna jina, neno au kauli mbaya yenye kuhudhi mliacha kumwita DR. SLAA.

Kuweka majina ya Dr Slaa na Prof Lipumba pekee yake ktk hoja yako, maana yake unawalinganisha hawa watu!!

Utazuia watu kusema juu ya uamuzi wako kama kiongozi?

Dr Slaa alikuwa kiongozi mkubwa ndani ya CHADEMA. Kuondoka kwake ktk style na kipindi kile chama kilipokuwa kinamhitaji pengine kuliko wakati wowote, ilikuwa lazima isababishe chaos na watu lazima tu wangesema aidha kwa ubaya/kutomuunga mkono au kwa uzuri/kukubaliana na maamuzi yake. Na hii ni hulka ya binadamu yeyote...n

Yes, ni mzee mwenye misimamo na husimama ktk maamuzi yake. Sasa kama aliamua yeye, sisi wengine na hata wewe utasemaje?

Hii ndiyo sifa yake na ndiyo sifa ya msomi yeyote wa kiwango cha Dr Slaa lakini si Prof Lipumba!!
 
Wewe Ditopile pili yaelekea waipenda chadema sana maana umeitaja sana
ccm wanaipenda chadema kuliko labda tulioko chadema ....ujue tulioko huku tuna ukakamavu sana ...hivyo upelekea jamaa kuipenda chedema bila kupenda
 
Back
Top Bottom