DITOPILE WAPILI
JF-Expert Member
- Oct 19, 2015
- 386
- 265
na wewe unawakanya chadema kama nani? na kuisemea cuf kama nani?Chama cha CHADEMA kimekuwa wazungumzaji wakuu katika kuhoji kuondoka na kuwepo kwa Prof. Lipumba kwenye chama CUF, hii inaonesha dalili zote za kupoteza dira na malengo kwa chama cha CHADEMA.
CHADEMA bora wangeanza kuhoji kwanini KATIBU MKUU wao, DR. SLAA aliondoka kwenye chama chao kuliko kuanza kuwa wasemaji wa chama cha CUF.
CHADEMA lazima watambue kwanza, CUF ni chama kikubwa cha kisiasa kina uongozi na taratibu zake.
Mwana- Demokrasia,na wewe unawakanya chadema kama nani? na kuisemea cuf kama nani?
Mwana Demokrasia wa upande mmoja? Makubwa tena hayaMwana- Demokrasia,
HATA WANOHOJI PIA NI KAMA WEWE !!!!!Mwana- Demokrasia,
Chama cha CHADEMA kimekuwa wazungumzaji wakuu katika kuhoji kuondoka na kuwepo kwa Prof. Lipumba kwenye chama CUF, hii inaonesha dalili zote za kupoteza dira na malengo kwa chama cha CHADEMA.
CHADEMA bora wangeanza kuhoji kwanini KATIBU MKUU wao, DR. SLAA aliondoka kwenye chama chao kuliko kuanza kuwa wasemaji wa chama cha CUF.
CHADEMA lazima watambue kwanza, CUF ni chama kikubwa cha kisiasa kina uongozi na taratibu zake.
Kuondoka kwa Dr. Slaa, pamoja na mambo yanahusu CHADEMAulitaka chadema waongelee rambirambi?
swissme
Upande upi?Mwana Demokrasia wa upande mmoja? Makubwa tena haya
Teh! Teh! Teh! kutoka CHADEMA!!!!HATA WANOHOJI PIA NI KAMA WEWE !!!!!
Mwana domokrasiaMwana- Demokrasia,
na wewe unawakanya chadema kama nani? na kuisemea cuf kama nani?
Slaa ccm ilimponza sasa ni mkimbizi kakimbia nchi yake.Kuondoka kwa Dr. Slaa, pamoja na mambo yanahusu CHADEMA
PiaNawashangaa sana hawa CHADEMA, wanajua kabisa kuwa kazi ya kumtetea na kumlinda Lipumba ni ya wanaCCM, lakini wao kila siku wanasumbuka kuhoji kuondoka au kuwepo kwa lipumba CUF. hivi CHADEMA hamna kazi nyingine, hiyo ya lipumba wachieni UVCCM
Aliye -change GIA angani ndiyo alisababisha DR. Slaa kuondoka.Slaa ccm ilimponza sasa ni mkimbizi kakimbia nchi yake.
swissme
so what.Pia
Aliye -change GIA angani ndiyo alisababisha DR. Slaa kuondoka.
CHADEMA wanataka kukiua CUF ili yenye ibaki kuwa chama kikuu cha UPINZANI, kitu ambacho PROF. LIPUMBA kwake ni big NO.Mtaka chadema wasi hoji,ili mpige bao kiulaini???
Ukitaka kutafuta nyoka anzia mguuni mwako, ilitakiwa CHADEMA kuanza kuhoji kuhusu KATIBU WAO MKUU DR. SLAA kwanini alikimbia wakati wa uchanguzi? halafu ndiyo waende kwa jirani.Tusipende kutafuta umaharufu ambao hauna tija CHADEMA wapo sawa kuhoji uhalali wa bwana yule kuwa mwenye haki na wana kutaka kujua kwa nn prof aliwakimbia wakati wa uchanguz na sada anataka nn? Ifahamike kuwa CUF ni mwanachama UKAWA kwala sababu hiyo Chadema bado wanaweza kuhoji
Kimsingi ni kwamba kama CUF ni moja ya dau wa UKAWA nilizma wadau ambao wapo kwenye UKAWA nilazma wahoji sio chadema tu hata NLD,NCCR MAGEUZ
Slaa hana ishu tena shida IPO kwa pro pesa ..Chama cha CHADEMA kimekuwa wazungumzaji wakuu katika kuhoji kuondoka na kuwepo kwa Prof. Lipumba kwenye chama CUF, hii inaonesha dalili zote za kupoteza dira na malengo kwa chama cha CHADEMA.
CHADEMA bora wangeanza kuhoji kwanini KATIBU MKUU wao, DR. SLAA aliondoka kwenye chama chao kuliko kuanza kuwa wasemaji wa chama cha CUF.
CHADEMA lazima watambue kwanza, CUF ni chama kikubwa cha kisiasa kina uongozi na taratibu zake.
Slaa ndiyo dili...kuna umuhimu kujua kwani alikimbia chama kipindi uchaguzi.Slaa hana ishu tena shida IPO kwa pro pesa ..