Nimekuwa nikufuatilia mwenendo wa cdm hasa baada ya kumalizika kwa uchaguzi mkuu mwaka 2010 , nilichogundua ni kwamba hiki chama kimekuwa kinatumia njia mbali mbali ili kuwahadaa watanzania kuwa cdm inapendwa na watanzania hasa kwa kufanya yafuatayo:
(i)kukusanya michango kutoka kwa wananchi maskini wa Tanzania.
(ii) kutumia picha za kampeni za uchaguzi wa mwaka 2010 na kuziweka kwenye magazeti na mitandao ya kijamii ili kuwadaa watanzania kuwa mikutano cdm inahudhutiwa na umati wa watu.
(iii).kulalama kwenye mikutano kuwa Tanzania ni nchi maskini sana bila ya wao kutoa njia mbadala ya kupunguza umaskini.
(iv).kuwa na matumizi yanayozidi mapato ya chama kwa mwezi.
Aiseeee, inabidi nitafakari upya

dalili za gonjwa la pepopunda ni kutunga hadithi na kuwahaminisha wenye akili na kutoa data za uongo picha zinaonyesha hardtop ambazo 2010 hazikuwepo! dalili hizi zinakuwa zinamashiko hasa unapotumia muda wako kuonyesha mawazo mgando yaliyojaa kichwani kwako sasa ndugu yangu una kila dalili ya pepopunda wahi hosipitari haraka! kabla haijamaliza kabisa akili ndogo iliyobaki ya kuoperate pcNimekuwa nikufuatilia mwenendo wa cdm hasa baada ya kumalizika kwa uchaguzi mkuu mwaka 2010 , nilichogundua ni kwamba hiki chama kimekuwa kinatumia njia mbali mbali ili kuwahadaa watanzania kuwa cdm inapendwa na watanzania hasa kwa kufanya yafuatayo:
(i)kukusanya michango kutoka kwa wananchi maskini wa Tanzania.
(ii) kutumia picha za kampeni za uchaguzi wa mwaka 2010 na kuziweka kwenye magazeti na mitandao ya kijamii ili kuwadaa watanzania kuwa mikutano cdm inahudhuriwa na umati wa watu.