Queen Kyusa
JF-Expert Member
- Apr 25, 2011
- 663
- 162
kiujumla chadema imekosa sababu za kuikosoa serikali ndo maana wanataka makubwa yatokee ili wapate sababu za kwenda ikulu. Na watu kama hawa wakiingia ikulu kutoka kwake ni kwa tindo. Na wamekuwa wakifanya vituko visivyo na maana.inawezekanaje watu wanasikitika watu wao wameuawa halafu wao waende wakawafariji wakiwa kama wakinanani? Kama sio laana nini?
Pole sana Tundu Lissu, hizo tunaziona kama kauli ya mfa maji.... Ulitaka usikamatwe kwa tuhuma unazotuhumiwa? Acha uwoga wa mahabusu, huko panaitwa MTAKUJA. Kama ilivyo hospital.. Uende kustaki wewe kama nani hapo tarime na kwa hoja gani za msingi.. We kaa mahabusu, wenzio wanakusifia eti umaarufu wako unaongezea, haya endelea kijana, siasa si lele mama, nilikushausi tangu mwanzo pale uliponitaka ushauri kuhusu kuingia kwenye siasa... Nikakushauri kuwa mtu wa HAKI na uisimamie hata kama haki hiyo ni ya ADUI yako ili upate msaada wa MWENYEZI MUNGU lakin hautaki kunisikiliza. HAYA KILICHOKUPELEKA TARIME KUCHOCHEA WATU WAUANE NI HAKI? Pole.
CDM ndio chama gani hicho? Mbona mnapenda kuchakachua mpaka majina ya vyama? Hao wananchi unaosema hawaendi shambani kulima, nani kakwambia watajikomboa kwa jembe la mkono? Ni mkulima gani amewahi kutajirika kwa jembe la mkono? Endelea kulala usingizi, utakapokuka kushtuka kitakuwa kimeshaeleweka!
Kama si kwa huruma ya JK leo SLAA angekuwa kizuizini.
CDM endeleen kuleta makelele ila nawaonya kuwa nchii hi ina jeshi la kumlinda rais na katiba.
Uchaguzi umeisha makelele ya nini sasa?wanainchi wasiendee shambani wahudhurie maandamano mwisho wa siku wale mavuno yapi?
CDM munatumia kuwaongaa waandishi wa habari uchwara waandike upuuzi wenu ila hamtafua dafu
Mwisho SLAA kazeeka anasumbuliwa na magonjwa ya kizee atawapoteza
Pole sana Tundu Lissu, hizo tunaziona kama kauli ya mfa maji.... Ulitaka usikamatwe kwa tuhuma unazotuhumiwa? Acha uwoga wa mahabusu, huko panaitwa MTAKUJA. Kama ilivyo hospital.. Uende kustaki wewe kama nani hapo tarime na kwa hoja gani za msingi.. We kaa mahabusu, wenzio wanakusifia eti umaarufu wako unaongezea, haya endelea kijana, siasa si lele mama, nilikushausi tangu mwanzo pale uliponitaka ushauri kuhusu kuingia kwenye siasa... Nikakushauri kuwa mtu wa HAKI na uisimamie hata kama haki hiyo ni ya ADUI yako ili upate msaada wa MWENYEZI MUNGU lakin hautaki kunisikiliza. HAYA KILICHOKUPELEKA TARIME KUCHOCHEA WATU WAUANE NI HAKI? Pole.
Ebu fafanua Dr Slaa angewekw kizuizini kwa sababu gani
Pili nikweli uchaguzi umeisha,je kwisha uchaguzi ni kuanza kwa mauaji?
mkerewe watanzaia wameuawa ndugu wanapewa ushauri na msaada wa
kisheria kuna tatizo hapo?watz waendelee kuuawa watu wakae kimya kwa sababu uchaguzi
umekisha?
Uvumilivu wa kikwete ni kwa mafisadi tu.
Pole sana Tundu Lissu, hizo tunaziona kama kauli ya mfa maji.... Ulitaka usikamatwe kwa tuhuma unazotuhumiwa? Acha uwoga wa mahabusu, huko panaitwa MTAKUJA. Kama ilivyo hospital.. Uende kustaki wewe kama nani hapo tarime na kwa hoja gani za msingi.. We kaa mahabusu, wenzio wanakusifia eti umaarufu wako unaongezea, haya endelea kijana, siasa si lele mama, nilikushausi tangu mwanzo pale uliponitaka ushauri kuhusu kuingia kwenye siasa... Nikakushauri kuwa mtu wa HAKI na uisimamie hata kama haki hiyo ni ya ADUI yako ili upate msaada wa MWENYEZI MUNGU lakin hautaki kunisikiliza. HAYA KILICHOKUPELEKA TARIME KUCHOCHEA WATU WAUANE NI HAKI? Pole.
CCM wameshachemsha tokea kifo cha Nyerere mambo si shwari ksb hata viongozi nyerere alikuwa anawaonyesha kwamba yupi safi na yupi kimeo jkl alishawahi toswa na mzee
<br />Ndugu yangu wewe akili yako ina akili kweli au unaropoka tu ?
<br />Huyu kama ni kweli ni Mhandisi (kwa maana aliehitimu kihalali BILA KUTUMIA MIG) basi ni living example kuwa kwenda shule si kuelimika. On the other hand, kama ni "Mhandisi" kwa maana ya kupata vyeti kama "PhD" za kina Nchimbi - yule waziri toka Chama Cha Magamba - au "Uhandisi" wake ni sawa na "Uprofesa" wa kina Prof. Maji Marefu basi ana kila haki ya kutoa maoni ya namna hii.
Kama si kwa huruma ya JK leo SLAA angekuwa kizuizini.
CDM endeleen kuleta makelele ila nawaonya kuwa nchii hi ina jeshi la kumlinda rais na katiba.
Uchaguzi umeisha makelele ya nini sasa?wanainchi wasiendee shambani wahudhurie maandamano mwisho wa siku wale mavuno yapi?
CDM munatumia kuwaongaa waandishi wa habari uchwara waandike upuuzi wenu ila hamtafua dafu
Mwisho SLAA kazeeka anasumbuliwa na magonjwa ya kizee atawapoteza
Haya ni matokea ya MVUTA BANGI WA KIKE ASIYEKULAUmekosea, nyerere ndio cha =nzo= cha matatizo yote. Kikwete ndio anaweka mambo sawa.