CHADEMA: A mob psychology na ole wenu

the mkerewe

JF-Expert Member
Nov 16, 2010
232
14
Kama si kwa huruma ya JK leo SLAA angekuwa kizuizini.

CDM endeleen kuleta makelele ila nawaonya kuwa nchii hi ina jeshi la kumlinda rais na katiba.

Uchaguzi umeisha makelele ya nini sasa?wanainchi wasiendee shambani wahudhurie maandamano mwisho wa siku wale mavuno yapi?

CDM munatumia kuwaongaa waandishi wa habari uchwara waandike upuuzi wenu ila hamtafua dafu

Mwisho SLAA kazeeka anasumbuliwa na magonjwa ya kizee atawapoteza
 
mubarak alikuwa hana jeshi la kumlinda wala polisi
 
Kama si kwa huruma ya JK leo SLAA angekuwa kizuizini.

CDM endeleen kuleta makelele ila nawaonya kuwa nchii hi ina jeshi la kumlinda rais na katiba.

Uchaguzi umeisha makelele ya nini sasa?wanainchi wasiendee shambani wahudhurie maandamano mwisho wa siku wale mavuno yapi?

CDM munatumia kuwaongaa waandishi wa habari uchwara waandike upuuzi wenu ila hamtafua dafu

Mwisho SLAA kazeeka anasumbuliwa na magonjwa ya kizee atawapoteza

Hii ndio inaitwa "Freudian Slip" mazee - kuongea ukweli bila ya wewe kujijua!

Hapo kwenye RED:

  • Hatushangai - ndicho kitu kinachosemwa siku zote hapa na wapenda maendeleo kuwa JK na genge lake wapo kujinufaisha (jeshi linalomlinda rais na si raia).
  • Wananchi walitakiwa kwenda kwenye maandamano wakati wa uchaguzi - wakapewe kanga, fulana, kofia na pilau. Uchaguzi umeisha na hivyo havitolewi sasa unashangaa kwa nini CHADEMA wanavuta watu kwenye maandamano na mikutano yao! (Kwako wewe na Magamba wenzako haifikiriki kwamba mtu mwenye akili timamu atavutwa kuacha kazi zake kwenda kusikiliza SERA anazoona zina mlengo wa kubadilisha maisha yake kuwa bora zaidi).
  • Imeeandikwa: Mtu huyawaza yaujazayo moyo wake. CHADEMA haina resources za kuhonga waandishi - wawe uchwara au vinginevyo - hiyo ni kazi ya wana Magamba.
Kazi mnayo mwaka huu. Stress zitawaumbua, na mtatwambia mengi.
 
Kama si kwa huruma ya JK leo SLAA angekuwa kizuizini.

CDM endeleen kuleta makelele ila nawaonya kuwa nchii hi ina jeshi la kumlinda rais na katiba.

Uchaguzi umeisha makelele ya nini sasa?wanainchi wasiendee shambani wahudhurie maandamano mwisho wa siku wale mavuno yapi?

CDM munatumia kuwaongaa waandishi wa habari uchwara waandike upuuzi wenu ila hamtafua dafu

Mwisho SLAA kazeeka anasumbuliwa na magonjwa ya kizee atawapoteza

CDM ndio chama gani hicho? Mbona mnapenda kuchakachua mpaka majina ya vyama? Hao wananchi unaosema hawaendi shambani kulima, nani kakwambia watajikomboa kwa jembe la mkono? Ni mkulima gani amewahi kutajirika kwa jembe la mkono? Endelea kulala usingizi, utakapokuka kushtuka kitakuwa kimeshaeleweka!
 
Kweli magamba ni mengi sana ndani ya ccm!
CCM tekelezeni ahadi zenu halafu muone kama watu watawafuata chadema, Tatizo ahadi hamtekelezi MNAPIGA KELELE TUUUU!
 
Mkuu inabidi ujue Chadema ni Nuru Mpya.
Binafsi nawapongeza kwa kuendelea na moto ule ule Baada ya Uchaguzi.
These guys are focusing beyond their noses.

After all the humuliation ya kuchakachuliwa kwa kura lakini hawajakata Tamaa.
Huu moto unawasumbua sana CCM.
Viva CHADEMA.
 
Kama si kwa huruma ya JK leo SLAA angekuwa kizuizini.

CDM endeleen kuleta makelele ila nawaonya kuwa nchii hi ina jeshi la kumlinda rais na katiba.

Uchaguzi umeisha makelele ya nini sasa?wanainchi wasiendee shambani wahudhurie maandamano mwisho wa siku wale mavuno yapi?

CDM munatumia kuwaongaa waandishi wa habari uchwara waandike upuuzi wenu ila hamtafua dafu

Mwisho SLAA kazeeka anasumbuliwa na magonjwa ya kizee atawapoteza

Du! kumbe kwenye karne hii kuna watu wenye mawazo kama haya!! Ucjali hapa ndipo sehemu muafaka pa kukurekebisha siyo kwenye mikutano ya JK na porojo za mwenezi wenu! Sasa Nakwambia wewe fisadi namba 3 ( coz najua we unaambulia makombo tu)
1. Ukiona vyaelea ujue vimeundwa - wananchi wanapoandamana ni ccm ndiyo imewatengenezea mazingira hayo siyo CDM
2. CDM hawapigi kelele hata cku moja, bali ninyi mafisadi ( third party) ndo mwapiga, CDM wanawaeleza wananchi sera mbadala ya kuwakomboa watz waliotelekezwa na CCM
3. Kila mwanzo unamwisho - Mwisho wa chama cha mafisadi umefika, hakuna cha kumlinda raisi wala katiba. Peoples' power itadhihirika hadharani 2015 tukiwa na katiba mpya. kama wewe ni msomaji mzuri wa alama za nyakati basi hata hilo gamba lako usijivue, jisalimishe kwa CDM mapema
 
Bora wamfunge tu huyo mpuuzi slaa, kakosa kiti cha urais sasa anataka kuleta fujo, hii ndio tatizo la makabila yanayo penda fujo.
 
Kama si kwa huruma ya JK leo SLAA angekuwa kizuizini.

CDM endeleen kuleta makelele ila nawaonya kuwa nchii hi ina jeshi la kumlinda rais na katiba.

Uchaguzi umeisha makelele ya nini sasa?wanainchi wasiendee shambani wahudhurie maandamano mwisho wa siku wale mavuno yapi?

CDM munatumia kuwaongaa waandishi wa habari uchwara waandike upuuzi wenu ila hamtafua dafu

Mwisho SLAA kazeeka anasumbuliwa na magonjwa ya kizee atawapoteza

Wewe pia utakuwa malaji za watanzania maskini
 
hivi si ni hao magamba walisema ni chama cha msimu,moto umewasha wanalalamika nini?halafu kuna mjinga mmoja kny tv jana kasema vijana wanapewa sh 200/= na chadema ili waandamane...si ni kudharau wananchi huko..kwani wao wenyewe hawaoni mauzauza ya ccm mpaka wapewe hela...,hii serikali ya kipuuzi sana mwisho utasikia wakisema hata ugumu wa maisha umechangiwa na maandamano ya chadema...mijijnga sana hii imeshiba hela za wizi hata kufikiri kdg tu hawawez ..wamevimbiwa i hate ccm n campany....
 
Kama si kwa huruma ya JK leo SLAA angekuwa kizuizini.

CDM endeleen kuleta makelele ila nawaonya kuwa nchii hi ina jeshi la kumlinda rais na katiba.

Uchaguzi umeisha makelele ya nini sasa?wanainchi wasiendee shambani wahudhurie maandamano mwisho wa siku wale mavuno yapi?

CDM munatumia kuwaongaa waandishi wa habari uchwara waandike upuuzi wenu ila hamtafua dafu

Mwisho SLAA kazeeka anasumbuliwa na magonjwa ya kizee atawapoteza

jk anaendesha serikali kwa mtindo wa omba-omba. hana jeuri ya kutia kizuizini wapinzani kwa sababu anaowaombaga misaada wanaamini katika demokrasia ya vyama vingi, uhuru wa kutoa mawazo na uhuru wa kukusanyika. hoja yako ni mfu. rudi shule kasome.
 
Bora wamfunge tu huyo mpuuzi slaa, kakosa kiti cha urais sasa anataka kuleta fujo, hii ndio tatizo la makabila yanayo penda fujo.[/QUOTE

nakusamehe tu kwa sababu si kosa lako, nakuombea kwa Mungu akupe akili japo kidogo tu. halafu acha ukabila.
 
teh,teh,teh,teh Retadation ya akili mkwele kawaponza mngejua mfukuzeni kwenye chama kama mna ubavu badala ya kuisema cdm,hadi rahaaaaaaaaaaaaaaaaa.kama mpiga zumari wa marekani cdm inatumia makosa ya ccm kuwavuta,wala hawatumii magari kuwaleta watu mikutanoni wala kwenye maandamano,hivi wewe unaakili sana mpaka unawahurumia watu wanaoandamana ati wakosa mavuno,wewe una akili mgando,hadi wakaacha mashamba na kuandamana ujue wamechoka tayari hawana tumaini tena na ccm wanahitaji kitu mbadala we ndio kwanza unawaponda,umelala endelea na usingizi wako.
 
Back
Top Bottom