CHADEMA: A mob psychology na ole wenu

CHADEMA: A mob psychology na ole wenu

Chadema wanachanganyikiwa kwa kasi sana. Yaani Lissu mbunge mzima alienda kufanya nini Tarime kama si uchochezi? Halafu mnataka mpate public sympathy kwenye huo upuuzi?
 
Mkuu Bigirita elewa hapa kuna ishu ya udini na ukweli ni kwamba wale marehemu wangekuwa kwenye majeneza ya Kiislam wasingetupwa porini. Pia elewa wamefanya hivyo maana wanajua Wakristu sio walalamishi na hawatafanya lolote. Nataka watz wafumbuke macho waone jinsi kikwete alivyo na chuki na Wakristu wa Tanzania.

Kikwete nayemfahamu si Mkristo wala Muislam (kwa maana ya msimamo). Yeye binafsi hajui yuko wapi.
 
Jamani jamani c wapewe mdhamana? Kwanini iwe hivi jamani?? Mi ninahasira yani!
 
Kwanza kabisa hauna uwezo wala haki ya kumuonya RPC wewe siyo IGP, Pili hatupendi utushirikishe watanzania wote kwe huo mpango wako wa kuondosha amani,, waliokamatwa wanahaki ya kufunguliwa mashtaka na kupandishma mahakaman kwa mujibu wa sheria. Kwa taarifa tu HAKUNA yaan nikimaanisha NEVER Raia aliye juu ya sheria. Kwahiyo futa kauli yako mara moja kabla na wewe haujafunguliwa mashtaka ya Jinai kutishia kwa maneno au kesi ya kuhamasisha na kukusudia kufanya UHAIN.

ngoja tu nikutukane ww ni mpuuzi
 
Sidhani kama kuna udini hapa bali ni udhalilishaji unaotakiwa kupingwa na imani zote!jamani inasemekana hata osama alizikwa kwa heshima za dini yake.jambo walilofanyiwa marehemu hawa ni la kinyama mno,hata kama jk alitoa order naamini watekelezaji(naamini ni wakristo) ndio wa kulaumiwa.
 
eng mayeye nenda kafungue mashtaka acha kujambajamba,hatuogop kufa n wajibu.chadema mkomboz wa wanyonge tutashinda
<br />
<br />
Uyo mayeye wa shinyanga sizani kama atakuelewa anafanya kazi katika kampu ya cprian inayomilikiwa na RA mkatae na mawazo mlundiko yake.
 
Mtoa mada acha kuandika upuuzi hapa. Usituletee udini. Ujinga huo.
 
Pole sana Tundu Lissu, hizo tunaziona kama kauli ya mfa maji.... Ulitaka usikamatwe kwa tuhuma unazotuhumiwa? Acha uwoga wa mahabusu, huko panaitwa MTAKUJA. Kama ilivyo hospital.. Uende kustaki wewe kama nani hapo tarime na kwa hoja gani za msingi.. We kaa mahabusu, wenzio wanakusifia eti umaarufu wako unaongezea, haya endelea kijana, siasa si lele mama, nilikushausi tangu mwanzo pale uliponitaka ushauri kuhusu kuingia kwenye siasa... Nikakushauri kuwa mtu wa HAKI na uisimamie hata kama haki hiyo ni ya ADUI yako ili upate msaada wa MWENYEZI MUNGU lakin hautaki kunisikiliza. HAYA KILICHOKUPELEKA TARIME KUCHOCHEA WATU WAUANE NI HAKI? Pole.

akili na mawazo yako ni ya kipumbavu,
bora ungekaa na ujinga wako ukabaki kuwa ni hasara kwa familia yako peke yake.
 
Taarifa ni kwamba hivi sas polisi wamemwagwa Nyaamongo na wanakamata watu ambao hawana hatia jamani hivi jeshi la polisi hamjui kuwa nyie ni walinzi wa kila raia wa nchi hii ama mlishabadilishwa na kuwa walinzi wa mwekezaji
 
Pole sana Tundu Lissu, hizo tunaziona kama kauli ya mfa maji.... Ulitaka usikamatwe kwa tuhuma unazotuhumiwa? Acha uwoga wa mahabusu, huko panaitwa MTAKUJA. Kama ilivyo hospital.. Uende kustaki wewe kama nani hapo tarime na kwa hoja gani za msingi.. We kaa mahabusu, wenzio wanakusifia eti umaarufu wako unaongezea, haya endelea kijana, siasa si lele mama, nilikushausi tangu mwanzo pale uliponitaka ushauri kuhusu kuingia kwenye siasa... Nikakushauri kuwa mtu wa HAKI na uisimamie hata kama haki hiyo ni ya ADUI yako ili upate msaada wa MWENYEZI MUNGU lakin hautaki kunisikiliza. HAYA KILICHOKUPELEKA TARIME KUCHOCHEA WATU WAUANE NI HAKI? Pole.

Ungetoa ushauri kama huu kwa Nelson Mandela, unadhani angekufanya nini? Nijuavyo mimi huyu jamaa pamoja na ubunge wake huko singida lakini ni waziri kivuli wa wizara inayoguswa kabisa na yaliyotokea huko. Waziri wa ccm ameogopa kutia mguu pale anajua ni nini kingemtokea!
 
Tahriri square itaanzia Nyamongo na kusaambaa tanzania nzima kisha magamba yote yataondoka bila kupenda
 
Its abt tym now we be fair to every1, hivi kweli kabisa muanzisha mada umekaa na kufikiri ukafikia conclusion kwamba kuna kikao kimekaa kikaamua eti majeneza hayo ya2pwe porini kwa kuwa ni ya wakristo? No, nchi yetu haijafikia hapo, mimi nimeishi mkoa wa Mara, nimejifunza na kuelewa tabia za watu wa kule, hawaitaji kupewa amri kusimamia what they think is right na kukataa the wrong 1. Mwananchi wa Mara particularly Tarime yupo radhi kujitoa roho ila si kufanya tofauti na matakwa yake bila hofu ya mtu. Kama waliacha majeneza hayo porini ni kwa 7bu wenyewe walijickia kufanya hvyo na c kwa 7bu wamepewa order. Kwanini tunanyoosha vidole vitano kutafuta m2 wa kumlaumu kwa hilo while kidole kimoja tu kingetosha kukemea jambo hili ovu lililofanywa na askari hao?
 
Pole sana Tundu Lissu, hizo tunaziona kama kauli ya mfa maji.... Ulitaka usikamatwe kwa tuhuma unazotuhumiwa? Acha uwoga wa mahabusu, huko panaitwa MTAKUJA. Kama ilivyo hospital.. Uende kustaki wewe kama nani hapo tarime na kwa hoja gani za msingi.. We kaa mahabusu, wenzio wanakusifia eti umaarufu wako unaongezea, haya endelea kijana, siasa si lele mama, nilikushausi tangu mwanzo pale uliponitaka ushauri kuhusu kuingia kwenye siasa... Nikakushauri kuwa mtu wa HAKI na uisimamie hata kama haki hiyo ni ya ADUI yako ili upate msaada wa MWENYEZI MUNGU lakin hautaki kunisikiliza. HAYA KILICHOKUPELEKA TARIME KUCHOCHEA WATU WAUANE NI HAKI? Pole.

wewe ni nani kati ya marafiki zake kwa sababu marafiki zake wote tunajuana na sisi ndo tulimshauri aingie kwenye siasa kwa sababu siasa aliipenda muda
 
kiujumla chadema imekosa sababu za kuikosoa serikali ndo maana wanataka makubwa yatokee ili wapate sababu za kwenda ikulu. Na watu kama hawa wakiingia ikulu kutoka kwake ni kwa tindo. Na wamekuwa wakifanya vituko visivyo na maana.inawezekanaje watu wanasikitika watu wao wameuawa halafu wao waende wakawafariji wakiwa kama wakinanani? Kama sio laana nini?

Kwahili nafikiri you are the only one who have that theory. Tafuta details zaidi kama kweli unataka kujua lakini ukiamua ku-play dumb is ok too.
 
Back
Top Bottom