Bata batani
JF-Expert Member
- Nov 11, 2011
- 3,183
- 3,547
mkuu huku ni kujidanganya chadema kwa mazingira ya sasa ni ngumu sana kushindaachadema wanaenda kuchukua nchi.
swissme
kijana wangu mbona umepanicRudi ukajifunze kuandika kwanza
Unawaogopa sana.kama ilivyokuwa kipindi cha bunge la katiba tuliona chadema na ukawa wakisusia na kutoka njee .....
kipindi cha bunge lilipopita tuliweza kuona chadema wakisusa na kutoka bungeni wakitoka njeee. .....
kipindi cha uchaguzi wa meya kinondoni tuliweza kuona chadema wakisusia uchaguzi wa mayor ......
hivo kuelekea 2020 tungependa kuona chadema wakisusia kuingia katika uchaguzi mkuu
maana hata wakishiriki vipi hawawezi kuishindaa ccm na ccm itashinda tuu na hii inatokana mazingira ya wapenda mabadiliko wengi wameshakata tamaa ya kupiga kura, kulinda kura na aina ya siasa za sasa
hamna mkuu upepo wa kisiasa kila nikiuangalia naona upinzani hauwezi kushinda tenaaaaMleta uzi unazungumza kana kwamba wewe ni mmoja wa wale wanne!
lakini pia bila kusahauu ya kwamba chadema imeshaanza kusahaulika katika ramani za kisiasaMleta uzi unazungumza kana kwamba wewe ni mmoja wa wale wanne!
Ipo siku tutaanza kupinduana.
Na baiskeli ya mabuachadema wanaenda kuchukua nchi.
swissme
vipi uko na bennHayo yote uliyo yataja hebu tuambie
Nini faida waliyo pata!!!?
Wajaribu ujinga huo waone
Zanzibar imewapa funzo
Chezea Ruzuku