CHADEMA 2020 tungependa kuona mkisusia kushiriki uchaguzi mkuu

C Programming

JF-Expert Member
Nov 11, 2011
2,924
2,000
kama ilivyokuwa kipindi cha bunge la katiba tuliona chadema na ukawa wakisusia na kutoka njee .....

kipindi cha bunge lilipopita tuliweza kuona chadema wakisusa na kutoka bungeni wakitoka njeee. .....

kipindi cha uchaguzi wa meya kinondoni tuliweza kuona chadema wakisusia uchaguzi wa mayor ......

hivo kuelekea 2020 tungependa kuona chadema wakisusia kuingia katika uchaguzi mkuu

maana hata wakishiriki vipi hawawezi kuishindaa ccm na ccm itashinda tuu na hii inatokana mazingira ya wapenda mabadiliko wengi wameshakata tamaa ya kupiga kura, kulinda kura na aina ya siasa za sasa
 
ostrichegg

JF-Expert Member
Jun 30, 2013
9,300

Unawaogopa sana.
 
Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
21,552
2,000
Ipo siku tutaanza kupinduana.

Kama alivyosema Lusinde (Mb.) Chama Siasa kikishindwa uchaguzi zaidi ya mara 3 kinageuka kuwa cha kigaidi, na kweli sasa hvi chadema kimeshakuwa Chama cha kigaidi, lkn kwa bahati mbaya hamna sapoti ktk kwa Watanzania, takataka yenu anaozea jela na hakuna Mtanzania hata mwenye kuguswa ije kuwa kuipindua nchi?
 
Alexism

JF-Expert Member
Aug 14, 2011
3,430
2,000
Mleta mada umesahau badara ya kusema CCM tunataka kuwaona mkifanya kama Zanzibar kwenye uchaguzi wa 2020 wewe una andika mambo mengine
 
Nyani Ngabu

Platinum Member
May 15, 2006
86,644
2,000
CHADEMA hawako principled kiasi cha kuacha kushiriki chaguzi za maigizo.

Hivyo acha tu waendelee kuwa wasindikizaji.
 
MOTOCHINI

JF-Expert Member
Jan 20, 2014
25,804
2,000
Hayo yote uliyo yataja hebu tuambie
Nini faida waliyo pata!!!?
Wajaribu ujinga huo waone
Zanzibar imewapa funzo
Chezea Ruzuku
 
YABUUU

JF-Expert Member
Aug 14, 2015
1,504
2,000
miongon mwa watu wa ajabu n wale ambao wanapenda kuwasemea wengne, baada ya kusema ningependa unasema tungependa. mawazo na hisia zako hazfanan na wengne weng
 
Zero Hours

JF-Expert Member
Apr 1, 2011
12,304
2,000
Chadema haina haja ya kushiriki uchaguzi. Tutaipa nchi kwa nguvu ya wananchi na sio jesh kma ccm walivyozoea.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom