Chachandu ya 6x6

Emc2

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2011
Posts
16,808
Reaction score
16,969
Ukitaka kula chakula daah!! chachandu huongeza radha ya mlaji.
Unajua hawa wenzetu "KEs" huwa inawachukua mda mrefu kupata hamu ya kula lile tunda la bustani la mti wa kati. Kwahiyo huwa inatakiwa kuongeza radha na hamu ya ulaji.

Wanaume walio wengi ni wachafu sana. Wengine eti wanataka wapige denda na mwanamke!!. Utapigaje denda kinywa kinatoa uvundo? Eti wengine wanataka She wake ashike microphone aimbe duh!! ataimbaje wakati box nyeupe imebadilika rangi na kuwa kijivu.

Hebu wezangu tuwekane sawa wakati mwingine mademu wanagoma.

Wengine sasa anataka akifika uwanjani kabla hata ya kupasha mwili na mazoezi anataka aanze kucheza wakati huo huo khaaa.

STEP ZA CHACHADU
1. Oga vizuri, Piga mswaki vizuri, tafuna Big G.
2. Piga pafumu isiyo na harufu sanaaaaa.
3. Fua nguo zako zooote na uzipasi
4. Tafuta mistari mizuri ya kimapenzi (Tafuta kwenye mitandao mf. Oooh mpenzi macho yako mazuri mithili ya hua, Sauti yako ya maringo inanibembeleza nk)
5. Mpe nafasi nae aweze kuongea. Madume wengi wanataka kuongeatuuuuuuu.
6. Msike shike shingoni, kwenye kiganja, mbusu usoni.
7. Toa mpumzi kuashiria kunakitu fulani ndani ya moyo wako
8. Ongea kwa sauti ya mbali
9. Gonga gonga kwenye bean kama mara 50 hivi taratibu. Utaona matokeo
10. Tumia G-Drive style.

Lazima itakuwa tena na tena.......



 
Hebu ngoja nimalizie ftari yangu kwanza, ntarudi badae
 
Toa uhuru kwa mwenzako. Sio "mama Nyasato geuka nikurenge."
 
Annael mapenzi unayaweza, kule kwenye siasa waachie wengine
 
Last edited by a moderator:
Uko right bradha, mi juz kuna mmoja nmedendeka nmekuta mdomo mchachu na kauvundo nimejaribu kumwambia kistaarabu KANUNA.
 

Kitchen party old version...!!!
 
miss neddy cjamuona hapa, wacha nipite kwanza
 
  • :llama: hivi maana ya huyu twiga kuruka hivi ni nini? Kuna mtu kaniPM hiki kipicha bila ujumbe wowote. nimemuuliza hajajibu kapotea

 
Halafu pochi yako iwe empty uuone moto wake. Chezea Ke wewe nadhani huwajui.
 
Kitchen party old version...!!!
Hii sio kitchen party broda. Vitu ni vilevile hakuna cha zamani au cha sasa. Style za kutendana ni zile zile zaidi ya hapo ni dhambi.
 
Mapenzi ni sanaa inabidi kubuni namna ya kufanya kila wakati. Kwa kutokujua wengine wanadhani ni kama kuchomeka soksi kwenye mguu.

Hisia za mwanamke huamka taratibu sio ghafla tu kama kuwa baruti. Haijarishi ukubwa wa Silaha yako ni jinsi ya kuitumia tu.

Hebu ngoja niongee hapa kidogo:-
Hisia za mwanamke kwenye eneo la mbunye ziko sehemu mbili.
Juu kwenye bean na ndani kidogo juu kama inchi mbili.
Sasa wanaume wengi huwa hawataki kabisa kupagusa hapo juu wengine wanaaibu, wengine hawajui.

Ukiingiza kidole cha pili kutoka kwenye dole gumba ndani ya mbunye kama inchi mbili hivi na ukunje kwa juu, utakutana na kitu kilaini laini. Hicho kinaitwa G-spot. Hapo utamu kwa mwanamke hupatikana.

Jaribu kukisugua taratibu tarati kwa kidole. Baada ya muda kidogo kitakuwa kama kinatuna. Endelea baadae kidogo kitatoa liquid. Hapo utasikia She wako akipiga kelele hiyo ndio maana ya kufika kwenye pick.

Lakini haifai sana kutumia finger maana sio official kwa kazi hiyo.

Bunduki ndio inafaa. Ila sasa unatakiwa kujua namna ya kumlaza She. Ukipiga kifo cha mende utaambulia patupu.

Unajua kwa nini wanawake wengi wamegeuka wauza mbunye asilimia kubwa hawapati raha ya tendo hilo.
 
Koh koh.sawa mkuu lakn mapenz hayana formula
 
Watu wengi wanafanya hilo tendo kwa kukomoana au kuoneshana nani mbabe. Matokeo yake lengo muhimu linapotea na inakua vioja tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…