Chachage makuwadi wa soko huria ni................... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chachage makuwadi wa soko huria ni...................

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by nzom, Jan 15, 2011.

 1. n

  nzom Senior Member

  #1
  Jan 15, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 168
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Chachage wakati anaandika kitabu chake cha makuwadi wa soko huria alijua kila kitu kina mwanzo na mwisho ila leo naumia kila ninaposoma kitabu hicho aliona mbali lakini hakuna namna ya kusema nisaidieni je alilenga nini na kuifunza jamii nini wana jamvi wenzangu mjadala wa nkurumah leo umenifurahisha jk sijui na hata hao wanaotukuwadia sisi kama ndugu zao hasa huyu dowans na ukoo wote huo lini wataaacha sasa tumechoka
   
Loading...