mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 96,211
- 137,617
Unajifanya huyajui gambaHayo maji mekundu ni ya wapi hayo, ufipa?
Ova
Unajifanya huyajui gambaHayo maji mekundu ni ya wapi hayo, ufipa?
Hahahaha mwambie akaripoti polisi kuwa ana tishwa na Ngurumo wa Tanzania daimaNinapata jumbe mbalimbali zingine zinazunguka katika mitandao ya kijamii za kuniambia nijihadhari kuwa kuna watu wametoka mwanza kuja kunidhuru wakiwa na gari aina ya NOAH silver T 494 DDU
kwamba wananivizia kwa mujibu wa watoa taarifa
Ninapenda kuwajuza kuwa niko kijijini hapa NYABITOCHO nikiwa kwenye matanga ya mdogo wangu SUGUTA CHACHA
Mpaka sasa hajazikwa kama wanatamani kuniondoa kwa sababu yoyote nisiyoijua wakisoma ujumbe huu wajuwe kuwa siogopi kufa
Maana MUNGU ANAJUA NITAKAA WAPI
kwa TL mlisema hivoHizo Drama zimechosha
Ipo siku wataingia kwenye 18
Ova
Jamaa kama una uwezo wa kuchambua mambo, na ni mfuatiliaji mzuri wa habari na kuchambua kwa umakini, huwezi sema yanatatanisha, kwa kifupi jiwe alishatoa order kwahiyo hawa aliowapa agizo wakiona unahoji au unamkosoa lazima wakufanyie kumbuka Heche juzi juzi aliongea nini bungeni ndio maana anafuatiliwa.Hivi ni kweli serikali inaweza kumfuatilia MTU asiye na hatia?
These are confusing puzzles
Siyajui ndio.Unajifanya huyajui gamba
Ova
Unasema drama kwakua upo upande wa mhutu unajiona upo salama unalamba miguu yake, unapewa buku7 siku atafanyiwa ndugu yako ndipo akili itakurudi.Hizo Drama zimechosha
Buku7 leo haijaongezeka nini Mbn uko kinyonge mkuuSiyajui ndio.
Diwani wa mlimba alifaliki mwezi wa pili Mwaka huu huko mlimba kwa kukatwakatwa na mapanga na wasiojulikana, katibu Wa chadema kata ya hananasifu aliuwawa kukatwa na mapanga na wasiojulikana just to mention few cases nadhani hujawahi kuzisikia!Huyu nae ANATAFUTA UMARURUFU WA KIJINGA TU......eti nae anainterejensia mpaka ANATAJIWA NA NUMBER KABSA YA GARI.....HUU NI UJINGA WA HALI YA JUU MNO.....
chadema imeharibu sana VIJANA WAKE JUU YA HAKA KA WIMBO KAO KA KUFATILIWA NA WATU WASIOJULIKANA.....
afu na wewe so CALLED MWANAHABARI HURU ebu jistukie wakati mwingine....
Huyu nae ANATAFUTA UMARURUFU WA KIJINGA TU......eti nae anainterejensia mpaka ANATAJIWA NA NUMBER KABSA YA GARI.....HUU NI UJINGA WA HALI YA JUU MNO.....
chadema imeharibu sana VIJANA WAKE JUU YA HAKA KA WIMBO KAO KA KUFATILIWA NA WATU WASIOJULIKANA.....
afu na wewe so CALLED MWANAHABARI HURU ebu jistukie wakati mwingine....
Naona hawajapewa leo maana wote wa lumumba wapo kimyaaa na wakitokea wako kinyonge sijui kimewasibu nini leoBuku7 leo haijaongezeka nini Mbn uko kinyonge mkuu
Ova
What happened to lissu and saanane walipotaja number za magari zinazowafuatilia siku chache baadae yakawapata!!! Naona siku ukimwagiwa SMG magazine nzima ndio utaelewa anachosema heche sio dramaUkitaka kuona watu wa chadema ni.majuha,mtumie text unafuatiliwa na gari fulani,weka hata namba za gari ya kwake,utaona hata sekunde haichukui lijamaa limesharuka mtandaoni
Wanakufa na tai Zao shingoni leoNaona hawajapewa leo maana wote wa lumumba wapo kimyaaa na wakitokea wako kinyonge sijui kimewasibu nini leo
Buku7 ndio nini?Buku7 leo haijaongezeka nini Mbn uko kinyonge mkuu
Ova
Duh leo mnaikana Buku saba kweli hali teteBuku7 ndio nini?
Duh, unajua kujifariji.Kamandaaaaa leo mpoleeeee hehehe
Ova
Ninapata jumbe mbalimbali zingine zinazunguka katika mitandao ya kijamii za kuniambia nijihadhari kuwa kuna watu wametoka mwanza kuja kunidhuru wakiwa na gari aina ya NOAH silver T 494 DDU
kwamba wananivizia kwa mujibu wa watoa taarifa
Ninapenda kuwajuza kuwa niko kijijini hapa NYABITOCHO nikiwa kwenye matanga ya mdogo wangu SUGUTA CHACHA
Mpaka sasa hajazikwa kama wanatamani kuniondoa kwa sababu yoyote nisiyoijua wakisoma ujumbe huu wajuwe kuwa siogopi kufa
Maana MUNGU ANAJUA NITAKAA WAPI
Kamandaaaaa leo mpoleeeee hehehe
Ova