Mtaacha lini maigizo yenu?[emoji13] [emoji13] [emoji13]Ninapata jumbe mbalimbali zingine zinazunguka katika mitandao ya kijamii za kuniambia nijihadhari kuwa kuna watu wametoka mwanza kuja kunidhuru wakiwa na gari aina ya NOAH silver T 494 DDU
kwamba wananivizia kwa mujibu wa watoa taarifa
Ninapenda kuwajuza kuwa niko kijijini hapa NYABITOCHO nikiwa kwenye matanga ya mdogo wangu SUGUTA CHACHA
Mpaka sasa hajazikwa kama wanatamani kuniondoa kwa sababu yoyote nisiyoijua wakisoma ujumbe huu wajuwe kuwa siogopi kufa
Maana MUNGU ANAJUA NITAKAA WAPI
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Ukitaka kuona watu wa chadema ni.majuha,mtumie text unafuatiliwa na gari fulani,weka hata namba za gari ya kwake,utaona hata sekunde haichukui lijamaa limesharuka mtandaoni
Ova.....Umeandika vzuri......
Swali Kwani Hvi TL lile Tukio alijitengenezea au maana na kabla alito taarifa za kufatiliwa na farasi Mweupe na hakuna action yoyote iliyochukuliwa kwake kumuwekea ulinzi mpk akakutana na balaa hilo
Ova
Hivi wewe Mwanahabari Huru unaweka gari hapa suppose ikawa si kweli mwenyegari akaamua kukushitaki pamoja na JF? Hivi kwa akili yako mtu anayetaka kumzuru mtu atatembea na gari lenye halali?? Suppose gari hilo kumbe liko Dar? Kweli wewe mwandishi uchwara sidhani kama unafuata maadili ya uandishi.Ninapata jumbe mbalimbali zingine zinazunguka katika mitandao ya kijamii za kuniambia nijihadhari kuwa kuna watu wametoka mwanza kuja kunidhuru wakiwa na gari aina ya NOAH silver T 494 DDU
kwamba wananivizia kwa mujibu wa watoa taarifa
Ninapenda kuwajuza kuwa niko kijijini hapa NYABITOCHO nikiwa kwenye matanga ya mdogo wangu SUGUTA CHACHA
Mpaka sasa hajazikwa kama wanatamani kuniondoa kwa sababu yoyote nisiyoijua wakisoma ujumbe huu wajuwe kuwa siogopi kufa
Maana MUNGU ANAJUA NITAKAA WAPI
Hvi TL alitoaga taarifa kabla Hadi akasema aina ya gari na namba zake inayomfatilia......Hivi wewe Mwanahabari Huru unaweka gari hapa suppose ikawa si kweli mwenyegari akaamua kukushitaki pamoja na JF? Hivi kwa akili yako mtu anayetaka kumzuru mtu atatembea na gari lenye halali?? Suppose gari hilo kumbe liko Dar? Kweli wewe mwandishi uchwara sidhani kama unafuata maadili ya uandishi.
TL ilikuwa hivihiviHuyu nae ANATAFUTA UMARURUFU WA KIJINGA TU......eti nae anainterejensia mpaka ANATAJIWA NA NUMBER KABSA YA GARI.....HUU NI UJINGA WA HALI YA JUU MNO.....
chadema imeharibu sana VIJANA WAKE JUU YA HAKA KA WIMBO KAO KA KUFATILIWA NA WATU WASIOJULIKANA.....
afu na wewe so CALLED MWANAHABARI HURU ebu jistukie wakati mwingine....
Vp ulifurahia kile kitendo alichofanyiwa TLaulizwe mwenyewe mkuu anaweza kuwa na maelezo mazuri kuliko sisi wapiga domo huku mitandaoni.
Lissu alikuwa na hatia?Hivi ni kweli serikali inaweza kumfuatilia MTU asiye na hatia?
These are confusing puzzles
sikufurahia na nililaani kwa kila lugha halali.Vp ulifurahia kile kitendo alichofanyiwa TL
Toa maoni yako mkuu
Ova
Maneno ya kishirikina haya.Auwaye kwa upanga nane atauwawa kwa upanga
Vp wknd mzee wa kufurahia wenzako wanaoumizwa na kuuliwa .....beer wapi leoManeno ya kishirikina hya.
Sinywagi beer. Glasi ya maji inatosha.Vp wknd mzee wa kufurahia wenzako wanaoumizwa na kuuliwa .....beer wapi leo
Ova
Maji mekundu nnSinywagi beer. Glasi ya maji inatosha.
Hizo namba zaweza kuwa za trekta,na pia kwa vile wameshastukiwa watabadilisha,cha msingi ni kuwakeà mtego wakiingia bàsi ni kuwamaliza tu.hiyo gari kwanini isipigwe kiberiti tujue moja ?
Hayo maji mekundu ni ya wapi hayo, ufipa?Maji mekundu nn
Ova