Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,242
- 34,917
Ninapata jumbe mbalimbali zingine zinazunguka katika mitandao ya kijamii za kuniambia nijihadhari kuwa kuna watu wametoka mwanza kuja kunidhuru wakiwa na gari aina ya NOAH silver T 494 DDU
kwamba wananivizia kwa mujibu wa watoa taarifa
Ninapenda kuwajuza kuwa niko kijijini hapa NYABITOCHO nikiwa kwenye matanga ya mdogo wangu SUGUTA CHACHA
Mpaka sasa hajazikwa kama wanatamani kuniondoa kwa sababu yoyote nisiyoijua wakisoma ujumbe huu wajuwe kuwa siogopi kufa
Maana MUNGU ANAJUA NITAKAA WAPI