Chabo

Chabo

Viol

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2009
Posts
25,419
Reaction score
18,366
Jamaa moja alikuwa anapiga chabo dirishani wakati wenye ndoa wakiwa kwenye mahaba,mara huko nje ya nyumba mwenyewe baiskeli aliyekuwa anakatiza gafla tairi la baiskeli lake liliburst na kulia puuuuu!wanandoa humo ndani ya nyumba waliposikia mlio wa kubusrt tairi wakatulia kwanza *kufanya tendo,mpiga chabo dirishani akajisahau na kusema'''nye endeleeni ni pancha tu''
watu hoi kwa kicheko.
 
Hiyo kali mkuu na huo mtaa utakuwa ni uswahilini kwetu masaki hakuna mambo kama hayo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom