Chabo imeniweka matatani

Chabo imeniweka matatani

mtz one

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2012
Posts
4,275
Reaction score
1,222
Wanabodi heshima mbele
Leo nimetoka zangu club na kadem kangu nikakatupia mageton bas ikafika wakat wa kuikata genye sikuzma taa ya chumbani na kutokana na mtaa wetu kuwa na vibaka huwa na lala na maji ya moto kwenye chupa bas wakati naendelea kuufaidi ulimwengu wa nusu uradhini nikagundua kuna mtu anachungulia ndan nikazma taa lakn cha ajabu aliendelea kusikiliza mirindimo yetu nikizan ni kobaka labda anasubiri tulale ili achane wavu na kuiba nikamwambia hane aendelee kububujika kwa sauti then mi nikanyanyuka taratiibu kuchukua maji ya kwenye chupa na kumvizia huyo mtu bas hane akazidisha mdundo njemba imetulia dirishan tu nikamwaga maji ya moto ndipo liliposikika yowe kumbe n baba mwenye nyumba wangu alikuwa anapiga chabo sasa kakomaa anataka kunifikisha kwa baloz eti nimemwagia maji ya moto kwa sababu ya ugomvi majiran wamekusanyika hapa nimejarbu kuwaeleza hali halis hakuna anaeelewa jamani mizee mingine mwe chabo inanitia majangani hv hv nisaidien mawazo npo buguruni.
 
Majirani wamekusanyika hapo na yeye kaungua na maji ya moto. Halafu ukachukua m-samsung s4 wako na kuanza kupost jeiefu! Thikuwezi.

Hebu nielezee ya maji ya moto...ndo inakuwaje? Usije ukavunja thermos bwana!
 
LMAO-mkuu sio kweli,shahid anayefaa kukutoa ni huyo kabint mliyekuwa mnagegedana nae so mwite hapohapo kwenye tukio asimulie sio kuja JF

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Watu wengine tabu kweli! sasa ww badala ya kuendelea na uroda wako unahangaika na mutu ingine! Dunia ni fupi raha jipe mwenyewe kijana. akikuchungulia anamaliza nini kwani?
 
wewe una balaa... mamo gani hayo ya kumwagia mwenye nyumba maji ya moto? wakati alikuwa anataka apate ushahidi je kweli unaye mlala ni mwanawe au mtoto wa jirani?
 
Napata shida na baadhi ya story, majuzi huyu ulikuja unasema umetongozwa na mwanaume mwenzako, leo umemumwagia maji ya moto mwenye nyumba yako mhh!!!,

Pole, anza route za madalali mapema maana lazima leo upewe notice ya kuhama ASP.
 
Wanabodi heshima mbele
Leo nimetoka zangu club na kadem kangu nikakatupia mageton bas ikafika wakat wa kuikata genye sikuzma taa ya chumbani na kutokana na mtaa wetu kuwa na vibaka huwa na lala na maji ya moto kwenye chupa bas wakati naendelea kuufaidi ulimwengu wa nusu uradhini nikagundua kuna mtu anachungulia ndan nikazma taa lakn cha ajabu aliendelea kusikiliza mirindimo yetu nikizan ni kobaka labda anasubiri tulale ili achane wavu na kuiba nikamwambia hane aendelee kububujika kwa sauti then mi nikanyanyuka taratiibu kuchukua maji ya kwenye chupa na kumvizia huyo mtu bas hane akazidisha mdundo njemba imetulia dirishan tu nikamwaga maji ya moto ndipo liliposikika yowe kumbe n baba mwenye nyumba wangu alikuwa anapiga chabo sasa kakomaa anataka kunifikisha kwa baloz eti nimemwagia maji ya moto kwa sababu ya ugomvi majiran wamekusanyika hapa nimejarbu kuwaeleza hali halis hakuna anaeelewa jamani mizee mingine mwe chabo inanitia majangani hv hv nisaidien mawazo npo buguruni.

Mosi - Hii mitandao ya Simu na MB50 zinatupa tabu maana mtu ana Post anavyojisikia tu.
Pili - Umetoka Facebook na kuja kutudanganya Wakubwa zako na hadithi ya kutunga hapo kitandani sijui kwenye kochi...Uandike kwa Aya sio unatiririka tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom