Cha Kujifunza Mwananchi Kutoka Port Harcoat - Rivers United 1 - 0 Young Africans SC

Wacongo wametoa upinzani uliotakiwa na Simba,washukuru Manula alibetia Mazemba akatoa boko mkeka wake utoke.
hizi ndio akili za makolo hamuishiwi sababu.
Kadake wewe na kitambi chako cha rushwa
Beleke kakuchomeka kimoko Pole
 
Moja kati ya mambo yanayowakwamisha Yanga ni kutaka kushindana na Simba ambayo tayari ina muunganiko na uzoefu wa michuano ya kimataifa.
Yanga SC ina mataji 27 ya LigiKUU Tanzania Bara.

Simba ina mataji 19 ya LigiKUU Tanzania Bara.

Nani ana haki ya kuweka jitihada ya kushindana na mwingine?
 
Yanga SC ina mataji 27 ya LigiKUU Tanzania Bara.

Simba ina mataji 19 ya LigiKUU Tanzania Bara.

Nani ana haki ya kuweka jitihada ya kushindana na mwingine?
Simba mataji 19?
Unajisifia ujinga? Bila kubebwa hampati ushiriki kimataifa, huwa mnadhani ni tahisi tu?
 
Simba mataji 19?
Unajisifia ujinga? Bila kubebwa hampati ushiriki kimataifa, huwa mnadhani ni tahisi tu?
Hivi kwa akili yako ya kawaida mtani unadhani kuwa ningeshindwa hata kuingia wikipedia kutafuta ukweli?

It was staged purposely.
 
Unaongelea ya msimu uliopita, Simba hii hata makundi haivuki.
 
Utopolo wataamini kuwa huu ushauri ni mzuri!! Yaani Yanga ikifuñgwa mara kwa mara mwaka huh ni sawa maana tunajenga timu!! Huwezi kuthubutu kutoa ushauri huu kwa timu yohote nyingine duniani isipokuwa kwa timu ya wananchi wa Jamhuri ya Utopolo !
Uto ni uto tu
 
Yanga ina uwezo wa kumfunga yoyote kwa sasa, kikubwa wachezaji wazuri wapo, timu ipate muda wa kupata muunganiko mzuri ikizingatiwa kuna wachezaji muhimu tumewakosa kwenye game zote mbili, mwalimu naye aomeshe makali yake.
Yoyote yupi ?
Hata Liverpool ?
Taja huyo yeyote ?
Au unamaanisha Costal Union ?
 
Moja kati ya mambo yanayowakwamisha Yanga ni kutaka kushindana na Simba ambayo tayari ina muunganiko na uzoefu wa michuano ya kimataifa.
Muunganiko Jana ulikuwa likizo? Nanyi mnajifariji tu. Kiufupi mnatembelea nyota ya korona tu hamna lolote Kama unabisha muda utaongea. Simba sc ilikuwa Ile ya kidevu hizi nyingine Ni Asante Korona and associates.
 
Sababu zile zile kama za History Form Three;
Land Allienation
Poor transport
Poor infrastructure.
Lack of Capital
Poor Management

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Ni ajabu sana kwa kweli hata hivyo hawajali Kwa kuwa hawajazoea kucheza hayo mashindano yani haiwashtui🤔
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…