Watasimulia hawa!..Washeherekee tu. Lakini huku kwenye mapinduzi ya ukweli wajihadhari maana watu wakiona kijani wanapata kichefuchefu. Tena nasikia mitaa ya Daraja Mbili ndio wataanzia. Wasisahau Archugaa
..wananchi wahamasishwe kuandamana ili kupinga utawala dhalimu usiaojali maslahi ya wananchi na walipa kodi
MOMBOLEZO. Tunatakiwa kuandaa maombolezo ya kitaifa siku hiyo kwa sababu tulichokishuhudia katika miaka 34 iliyopita ni kifo cha taifa. Kama uongozi wa nchi ukibakia kwa CCM kwa miaka mingine michache ijayo, ni dhahiri kuwa hatutakuwa na taifa tena. Hivyo, kwangu mimi, siku hiyo inaashiria msiba mkubwa.

Ni kweli siku hiyo ni siku ya msiba mkubwa
Ushauri wangu tarehe 5/2/2011 watu wote wavae nguo nyeusi kuomboleza na na kuonyesha kwamba ni siku nyeusi kwa WaTz!! mwanzo wa safari ndefu ni hatua moja mbele.
unajua hii kitu ikifanyika vizuri.., jambo dogo linaweza lika-attract attention..., mfano wanavyuo / machinga na waendesha pikipiki, makonda wakivaa nguo nyeusi au kitambaa cheusi na wakaendelea na shughuli zao kama kawaida hii inaweza ikavuta media attention.....