huyo asikupotezee muda. mu-ignoreChadema ni yawananchi wa JMT, ccm ni ya police ,twende tu, wewe upo na kamdomo sana
Huna unachojua broChadema ni yawananchi wa JMT, ccm ni ya police ,twende tu, wewe upo na kamdomo sana
Huna unachojua bro
Tulia kabsia
Chadema Pandikizi kibao
Kumbe hujui dunia ,hakuna taasisi kubwa duniani ambayo itakosa mapandikizi ila ni kazi ya taasisi husika kulinda mifumo ya taasisi, wewe unafikili ccm hakuna mapandikizi, vipi siku ukajua Mzee wasira ni pandikizi na wengine na wengine.Huna unachojua bro
Tulia kabsia
Chadema Pandikizi kibao
Muarobaini ni mmoja tu. WaTanzania kuelewa HAKI zao na kukataa kuvurugiwa haki hizo. Hiyo kazi ndiyo wanayoifanya sasa hivi CHADEMA.Ni serikali kutojiamini, upinzani wtafute muarobaini wa hili la vyombo vya dola kutumika na serikali kuwapunguza nguvu.
Wafanye juu chini, vyombo vya dola nikikwazo kwa vyama pinzani , waachane na yote waangalie upande huo... Wakifanikisha siasa itavutia zaidi..
Wanakupeleka wapi? Tuanzie hapo1. Taarifa mapema kuhusu kukamatwa ni muhimu sana.
2. Kamwe usiamini majibu ya polisi.
3. Ukiambiwa jidhamini uondoke na uko peke yako usikubali, wanakusainisha umejidhamini ukishasaini dhamana wanakukamata, tukija tutaambiwa huyu alijidhamini kaondoka.
View attachment 3317489
Kumbe hujui dunia ,hakuna taasisi kubwa duniani ambayo itakosa mapandikizi ila ni kazi ya taasisi husika kulinda mifumo ya taasisi, wewe unafikili ccm hakuna mapandikizi, vipi siku ukajua Mzee wasira ni pandikizi na wengine na wengine.
Mashirika makubwa ya kijasusi yamepandikizwa mapandikizi sembuse kwetu hapa ,ambapo police wanataka kumlawiti mzee, achana na kupiga watu wasiokua na makosa na kuwatupa mapolini.
Laana iliyoje yani mzee wa umri ule ,unamwambia geuka tukufanye ,hao ni kutoka jeshi la police ndani ya nchi ,vipi wakipekwa nje ya mipaka watafanya ya hovyo mangapi?
Alafu mtu / chawa na machawa wenzako siku ya nne mnafurahia police wamefanya kwa watz wasiokua na hatia.
Siku zaja juu yenu tusijechaguliana namna ya kuomboleza asema Bwana ,ndo taifa mlitakalo nyie machawa wa ccm
Wewe mjinga tutawapiga tuKumbe hujui dunia ,hakuna taasisi kubwa duniani ambayo itakosa mapandikizi ila ni kazi ya taasisi husika kulinda mifumo ya taasisi, wewe unafikili ccm hakuna mapandikizi, vipi siku ukajua Mzee wasira ni pandikizi na wengine na wengine.
Mashirika makubwa ya kijasusi yamepandikizwa mapandikizi sembuse kwetu hapa ,ambapo police wanataka kumlawiti mzee, achana na kupiga watu wasiokua na makosa na kuwatupa mapolini.
Laana iliyoje yani mzee wa umri ule ,unamwambia geuka tukufanye ,hao ni kutoka jeshi la police ndani ya nchi ,vipi wakipekwa nje ya mipaka watafanya ya hovyo mangapi?
Alafu mtu / chawa na machawa wenzako siku ya nne mnafurahia police wamefanya kwa watz wasiokua na hatia.
Siku zaja juu yenu tusijechaguliana namna ya kuomboleza asema Bwana ,ndo taifa mlitakalo nyie machawa wa ccm
Hapo nimemtambua mmoja tuu,Wakili MSOMI!1. Taarifa mapema kuhusu kukamatwa ni muhimu sana.
2. Kamwe usiamini majibu ya polisi.
3. Ukiambiwa jidhamini uondoke na uko peke yako usikubali, wanakusainisha umejidhamini ukishasaini dhamana wanakukamata, tukija tutaambiwa huyu alijidhamini kaondoka.
View attachment 3317489
Halafu anajiita massage si Bora angejiita mawe!Chadema ni yawananchi wa JMT, ccm ni ya police ,twende tu, wewe upo na kamdomo sana
Anajiita massawe!Halafu anajiita massage si Bora angejiita mawe!
Kila serikali iliyopo madarakani hujaribu kutumia Dola kwa faida yao, utofauti ni kama kuna taasisi imara na nguvu za kisheria / separation of power ya kweli na sio kwenye makaratasi...Ni serikali kutojiamini, upinzani wtafute muarobaini wa hili la vyombo vya dola kutumika na serikali kuwapunguza nguvu.
Wafanye juu chini, vyombo vya dola nikikwazo kwa vyama pinzani , waachane na yote waangalie upande huo... Wakifanikisha siasa itavutia zaidi..
Haina shida ,ila elewa siku zenu zaja tusije pangiana namna ya kuomboleza , wakulia atalia kivyake, wa kucheka , kucheza mziki atafanya hivyo, tusije kupangiana asema ,Bwana.Wewe mpumbavu t
Wewe mjinga tutawapiga tu
Wapumbavu nyie subiri hiloHaina shida ,ila elewa siku zenu zaja tusije pangiana namna ya kuomboleza , wakulia atalia kivyake, wa kucheka , kucheza mziki atafanya hivyo, tusije kupangiana asema ,Bwana.
Mnajificha kwenye kivuli cha police , sio mda mtatawanyika kwa njia saba msijue pa kutokea asema Bwana
Tumefikia pabaya sana na hawa tuliodhani ni walinzi wetu kumbe sio kabisa!3. Ukiambiwa jidhamini uondoke na uko peke yako usikubali, wanakusainisha umejidhamini ukishasaini dhamana wanakukamata, tukija tutaambiwa huyu alijidhamini kaondoka.